Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Sep 30, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,582
  Trophy Points: 280
  ... Inakaribia Kupasuka!.
  Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma inakaribia kupasuka!.

  ZZK: Namkubali sana tuu ila natatizwa na determination yake ya kuwa a "dare devil!" bila kutoa sababu and once defeated anajinyamazia kimya bila kutoa sababu!. "Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!".

  ZZK alipofanya atempt ya kumvaa Mbowe kwenye Uenyekiti wa Chadema, alikurupuka bila kutoa sababu, na alipojitoa hakutoa sababu za kujitoa!. Ndivyo vivyo hivyo 2010 alipotishia kutogombea Kigoma!, akatishia kutafuta jimbo lolote, na sasa anatishia tena 2015 kutogombea tena ubunge bali kugombea urais kupitia Chadema!.

  The proper way ilikuwa sio yeye kutangaza nia bali kuwaonyesha Chadema kwa vitendo kuwa anaweza na ni kwa kupitia vitendo hivyo vya kuonyesha uwezo, ndipo Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji ZZK kupeperusha bendera yake 2015, not the other way round!.

  Kwa vile mpiga ngoma hii mkubwa ni ZZK mwenyewe na ikitokea ngoma hii kupasuka kiukweli, then itakuwa ni haki tukisema aliyeipasua ngoma ya ZZK kwenye urais wa 2015 ni ZZK mwenyewe hivyo wapenzi wa ZZK ngoma ikishapusuka, nawaombeni sana msitafute mchawi!.

  Pasco.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sioni ni kwa namna gani ulivyo 'supporter' wa the daredevil!

  By the way sio kukurupuka kama unavyotaka kutuaminisha, kuna namna ya ku-handle mambo ambayo hiyo ndiyo signature style ya ZZK. Let it be!
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  uwezo wa mtu kushika madaraka kwa mtu yeyote hutegemea mambo ikiwemo wafuasi,utendaji wako uliotukuka,ustahimivu,hekima na busara yako on critical issues,weledi na uwajibikaji.kwa zito kuna maeneo amepwaya na mbaya zaidi anakosa hekima na busara ya kiuongozi,popote penye uhuru bila mika huleta fujo,sasa ili tukupime kama unatufaa ni namna gani unaishi na wenzio.unawathamini kwa kiasi gani coz hao ndiyo upo nao kwa muda mwingi kuliko wananchi.umesema vema pasco!
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  pole sana.
  zzk ama zitto zuberi kabwe ama zuberi zitto kabwe ndio rais wetu 2015.
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwa mfano wapi amepwaya?. zitto ni rais wangu na masikini wenzangu
   
 6. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,192
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  daah, una hamu ya kukamua maziwa! Mbona beberu huyo.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  maadamu mwenyewe umejitambulisha kuwa ni masikini basi nakuhakikishia Zitto hafai kuwa Rais wako, yeye alishajitoa kwenye umasikini siku nyingi. Ni fisadi mzuri tu japo mara kadhaa amefanikiwa kuwahadaa watz wasioshughulisha bongo zao kuwa eti ni mpinga ufisadi. Ana mali kuliko umri wake!
   
 8. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wacha ipasuke tuu
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo tuseme wewe ambae ni supporter wake mkubwa
  'humuelewi na unaona hataweza na anajiumiza mwenyewe'?

  this is more than funny....
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Usaliti una mwisho........!
   
 11. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135

  Labda tu nichomekee kidogo ingawaje iko nje ya mada hapo Bw. Jakaya Kikwete unamweka wapi ktk hizo sifa za kiongozi?

   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tukana matusi kama ulivyozoea kumtukana Mbowe na Dr Slaa kule Facebook ukishirikiana na Habib Mchange na Juliana Shonza.
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mbona humtukani matusi kama unavyowatukana Dr Slaa,John Heche na Mbowe kule Facebook?
  Ni aibu kubwa Zitto kutetewa na mtu kama wewe ambaye matusi yako unayoeatukana viongozi wa CDM hayaandikiki hapa JF.
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ngoja niendelee na mizunguko yangu, nitarudi baadae kama muda utaruhusu.
   
 15. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Maskini anaendesha hammer? .....
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nadhani unamaanisha pia na chadema inavyovuma hapa jf pia itakuwa kama zzk. asante kwa taarifa.
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mbona nasikia chama kimekuolea mke na ulisaidiwa ulivyokuwa unagombea vunjo sasa umepata ukurugenzi ****** yanalia mbwata
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mtasema sana Lakini hakuna kibaraka atakayesalimika CDM.
   
 19. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280

  Mkuu P,

  Mimi nadhani unatania unapofikiria kwamba ZZK anaweza kugombea urahisi na hata kufikia asilimia 20 ya kura.

  Huyu jamaa nilikwishasema kwenye thread moja hivi kwamba mienendo yake inafuatiliwa kuona kama ana kazi mbili au ana mawazo gani.

  Halafu mkuu unawa-suport watu wangapi? maana kuna EL na sasa unakuja na huyu, ama! vipi tena?

  ZZK pia hana sifa za kuwa raisi wa TZ bali anafaa kuendelea kuwa mshauri wa mambo mengi juu ya taifa letu, lakini uraisi?
   
 20. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pasco naungana na wewe hapa unaposema "Chadema waonyeshe kuwa wanamhitaji". Naamini mambo ya uongozi/urais c suala la mtu kupaza sauti sana (kama aliae nyikani) bali wanaokuzunguka inafika wanakwambia tunakuhitaji,tafadhali gombea. So kwa Zitto unaweza kuona wazi hana nia ya urais bali anayasema haya kwa lengo flani bila shaka kwa kutumwa na kundi flani la watu
   
Loading...