Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati Chadema ikiwaletea Mbunge wa Taifa , ambaye pamoja na kujenga hoja nzito mno bungeni kwa kutetea maslahi yenu na ya nchi kwa ujumla , hakuwahi kuwadhalilisha , Kwa kipindi chote Mchungaji...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025. Hata hivyo, kundi la...
11 Reactions
64 Replies
7K Views
Habarini wanajamii katika jukwaa la siasa, Je! Una mtazamo gani juu ya uwepo wa vijana katika nafasi mbalimbali za uongozi na utendaji wao Nisahihi vijana kuzishika nafasi hizo ikiwa wako kwenye...
2 Reactions
8 Replies
800 Views
Ukitaka kudili na Upigaji huwezi muacha Philipo Mpango, huyu alikuwa waziri wapesa hivyo anaujua upigaji wote wa awamu ya 5 na ni mnufaikaji mkubwa, tunapo sema tunapambana na Ufisadi mtu kama...
12 Reactions
44 Replies
3K Views
Ufisasi, upendeleo na ubwanyenye umekuwa kama sasa ni sehemu ya maisha ya CCM. Na hii ni sababu hakijawahi kuondolewa madarakani kama chama tawala. Ingetokea tu siku moja CCM ikashindwa uchaguzi...
0 Reactions
4 Replies
680 Views
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli. Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
36 Reactions
421 Replies
29K Views
🔥NI LEO, KUANZIA SAA 7 USIKU HUU, FILAMU YA ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI, KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 DUNIANI KOTE. Na Bwanku M Bwanku. Historia inaandikwa rasmi kuanzia Saa 7...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwanza naomba nitoe declaration. Mimi ni mtanzania haswa ninaependa kuona maendeleo ya hii nchi. Nirudi kwenye mada, hii royal tour ni deal sana hasa kwa namna inavyotarajiwa na watanzania wengi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia. Hatutakubali kuona magufuli...
16 Reactions
110 Replies
5K Views
Mtaalamu wa mambo ya fedha Dr Akandunduma anasema huwa anawashangaa wanasiasa wanapoikimbilia ripoti ya CAG badala ya ile ya Takukuru ambayo kimsingi husomwa siku moja. CAG huwa anaonyesha makosa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Uchaguzi wa TLS umewadia na sasa kuna wagombea watatu ambao watachuana kikamilifu kwenye kinyanganyiro hicho ambacho Kwa hakika mwaka huu kitakuwa NI mchuano wa kukata na shoka! Wagombea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa kweli nisiwe mnafiki. Niliacha kupenda siasa toka baadhi ya wapinzani kuanza kuunga mkono juhudi za JPM. Marufuku ya siasa ikachangia pia. Utendaji wa hayati nao nikaupenda. Kilichonifanya...
8 Reactions
115 Replies
7K Views
Kwa machalii na dogo wengi, hawawezi kuijua hii Operation Tujisahihishe , ambao ulikuwa msimamo wa chama TANU, Mwaka 1976/77. Mwalimu, a thinker, strategist na visionary, aliliona tatizo katika...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa...
10 Reactions
119 Replies
21K Views
Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa. Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Sikiliza mchango wa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, akieleza mambo machafu yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 kupora haki ya wananchi kupata viongozi wanaowataka.
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Taarifa tunazosima zinaonyesha ndani ya miaka mitano tu Magufuli amekopa karibu sawa na mikopo aliyochukua Kikwete kwa miaka yote Kumi aliyokuwa madarakani. Ukiacha Kikwete, kuna Mkapa, Mwinyi na...
0 Reactions
4 Replies
635 Views
Enzi hizo ndugu zangu wazungu walituma maagent wao kuja kupeleleza Bara la Afirca upelelezi ulipo kamilika uwezi amini Bara la Africa lilitawaliwa kabsa na madhara ya ukoloni Kila mmoja wetu...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wangu kwa wana JF wote ambao wamekuwa wakijadili zaidi watu (viongozi wa kisiasa) zaidi kuliko mambo yanayohusu taifa. Ukweli ni kwamba, kwa sasa taifa letu limegawanyika...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020. Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita...
11 Reactions
90 Replies
6K Views
Back
Top Bottom