Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu...
20 Reactions
125 Replies
6K Views
WHAT IS TANZANIA: THE ROYAL TOUR? It is a much-anticipated television program recorded in Tanzania between August 2021 and early September 2021, which is scheduled to be officially launched in...
14 Reactions
51 Replies
5K Views
Kufuatia taarifa CAG za Mara kwa Mara kuibua ufisadi na mapungufu makubwa Sehemu ya suluhu iwe 2. 1 . Miradi ya umma iwe na mabango yenye taarifa zote muhimu kwa lugha rahisi ya kiswahili...
1 Reactions
12 Replies
741 Views
Leo imefanyika hafla ya kumuaga aliyekuwa RPC mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa na kumkaribisha RPC Mpya wa Pwani Pius Lutumo. Wankyo Nyigesa sasa ni RPC wa mkoa wa Kagera ambae amesema anajiandaa...
23 Reactions
146 Replies
16K Views
Kwema Wakuu! Niliwahi kumsikia Mzee wetu, Rais Mstaafu Jakaya mrisho Kikwete akisema; ukikata Kula sharti nawe uliwe. Naweza kuwa sijanukuu Kama ilivyo lakini ujumbe ulikuwa na maana Sawa na huo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake. Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mama Pombe shikamoo. Pole sana na msiba wa Mzee. Let me be honest. Your husband was honest. Nilipenda utawala wake kwa sababu kama mfanyabiashara ulikuwa clean, kupata mafanikio kipindi chake was...
14 Reactions
63 Replies
8K Views
Kaka Janu shikamoo. Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu. "Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa...
71 Reactions
207 Replies
17K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile. “Kwa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa...
29 Reactions
161 Replies
17K Views
Anaadika mwalimu Wilson Peter wamba Ni aibu na jambo la kushangaza sana kwa mtu na kiongozi mkubwa wa chama na mtu aliyewahi kuingia na kuitumikia nchi yetu pendwa Tanzania kwa nafasi mbalimbali...
0 Reactions
8 Replies
726 Views
Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini. Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza...
9 Reactions
105 Replies
4K Views
Hata kama ni 'Mtu kwao',hii sasa imezidi. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa,Hayati Samwel Sitta alianzisha na kusimamia ujenzi wa Ofisi ya Spika huko Urambo,Tabora. Nyumbani na jimboni kwake. Ofisi...
34 Reactions
145 Replies
18K Views
Nchi yetu ina makao makuu mawili, ina nchi mbili,ina mkoa anapotoka rais,ina nyumbani kabisa anapotoka mkuu.Sasa unakuta huku kote kunatakiwa kuwe na ratiba na pilika nyingi ambazo zinakula muda...
1 Reactions
4 Replies
617 Views
Wanabodi, Lazima tukubali tukatae, kilichomtokea Zitto jana, kufukuzwa CHADEMA, it is a shock kwa wengi, ila wale makini wachache na yeye mwenyewe akiwemo, walijua fika kuwa kuna siku hii siku...
19 Reactions
298 Replies
40K Views
Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi...
1 Reactions
5 Replies
689 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24, 2021 akitokea Nchini Zambia...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki. 2.Kwa miaka yote Zitto akiwa...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…