Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona alikuwa anatuadaa kwamba hakuna wizi?

Ripoti ya CAG wetu imejikita zaidi kuona kama sheria zilifuatwa? Hata kama hakuna Fedha iliyokwapuliwa lakini akabaini sheria imekiukwa basi yeye anachokuja nacho nikuonyesha serikali imepata hasara Jambo amabalo naamini limekuwa likipotosha umma wa Watanzania.

Mfano Kuna hoja unaona anasema mfumo ulipata itilafu na mifumo Mingine ikatumika kutoa Huduma,Kwake yeye anataka kusema tayari ni ubadhirifu wakati miundombinu Yetu inafahamika wazi kwamba Taifa halina reliable network,electricity nk. Sasa yeye badala ya kuibua ubovu wa miundombinu anakwenda kuangalia waliohudumiwa nje ya mfumo anasema serikali imepata hasara. Hoja za Haina hii haziwezi kumwajibisga mtu maana hazina evidence ni mtumishi Gani au Watumishi Gani walikwapua hizo Fedha?

Mfano mwingine kwenye ujenzi naona anacholeza nikukiukwa Kwa sheria ya manunuzi ambayo sheria Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.

Kwa aina hii ya riport ambayo imeandikwa ikiwa na dhima ya non compliance lakini ikahitimishwa na kiasi Cha ubadhirifu ni dhahiri kila mwaka tutaona anasema Kuna wizi wa mabilioni lakini hakuna wakuchukuliwa hatua Kwa sababu inashindwa kutofautisha wizi ( fedha kuingia mifukoni) na non compliance ( kutumia fedha Kwa KAZI iliyopangwa au kubadili matumizi bila kuweka fedha mfukoni).

Hii ripoti Kila mmoja serikalini ataipuuza Kwa sababu imechafua taasisi Kwa kuonyesha Kuna wizi kumbe ukweli ni watendaji kutozingatia sheria.

Maeneo mengi hakuna wizi Kuna ukiukwaji wa sheria.
 
usije kuwa wewe ni moja kati ya watu waliotajwa kupiga. Hebu weka mfano halisi kutoka kwenye ripoti. Humu watu wanaweka vipande kutoka kwa CAG kuonyesha hali mbaya. Wewe mpingaji weka kipande
 
Kutofuata taratibu au sheria kunaweza kuwa ni kiashiria cha wizi, uzembe au taratibu ngumu.

Kwa mfano sheria ya manunuzi inasema kuwa manunuzi yote ni lazima kuwe na stakabadhi. Kutokuwepo stakabadhi kunaweza kuashiria wizi, kwa sababu hatujui kilichotajwa kununuliwa kama kilinunuliwa, na kama kilinunuliwa, hakuna uthibitisho wa bei na kiasi kilichonunuliwa. Aliyefanya manunuzi hayo yasiyo na uthibitisho atachukuliwa hatua kama mwizi maana ameshindwa kuthibitisha kama kulikuwa na manunuzi kwa utaratibu uliowekwa.

Kwa taratibu za manunuzi, kama hakuma risiti ina maana hakuna manunuzi, na kama hakuna manunuzi, hela iliyotajwa kwamba imefanya manunuzi maana yake imeibiwa. Japo yawezekana haikuibiwa, lakini ndiyo taratibu zilizowekwa na kukubalika.
 
Asante kwa ufafanuzi uliojaa weledi hakika wewe ni mwalimu mzuri......
 
Uko sahihi kabisa mkuu ingawa wengi hawawezi kukuelewa,kwanza mauditor wengine hawajui vzr operations za taasisi wanazozikagua,so wanatumia nadharia au by the book sana kiasi hata kama ataona mradi umefanyika na unaonekana kitendo cha kukosa uthibitisho wa documents flaniflani wanastate fedha kiasi flani hazijulikani zimekwenda wapi!,sasa inapokuja masikioni mwa wananchi na likarembwa na wanasiasa inaonekana kuna upigaji.Kuna haja ya wananchi kueleweshwa taarifa za CAG huwa zinamaanisha nini.
 
mkuu nitoe tongotongo,weka facts kutoka kwenye report badala ya maneno matupu
Ripoti ya CAG imekagua kuwa kutumia sheria za manunuzi na utaratibu wa manunuzi uliokubalika kisheria....kwenda kinyume na huo utaratibu kwenye macho ya kisheria huo ni wizi hata kama aliyenunua hajaiba.....na huko kwenye manunuzi nje ya mfumo ndio kwenye upigaji hasa.....Mimi nadhani CAG yupo sahihi kwa asilimia kubwa........
 
Uko sahihihi mkuu. CAG yuko sahihi kwa asilimia kubwa labda jamii i tafsiri tofauti kitu ambacho hatuwezi mbebesha lawama CAG
 
Kutofuata taratibu au sheria kunaweza kuwa ni kiashiria cha wizi, uzembe au taratibu ngumu.

Kwa mfano sheria ya manunuzi inasema kuwa manunuzi yote ni lazima kuwe na stakabadhi. Kutokuwepo stakabadhi kunaweza kuashiria wizi, kwa sababu hatujui kilichotajwa kununuliwa kama kilinunuliwa, na kama kilinunuliwa, hakuna uthibitisho wa bei na kiasi kilichonunuliwa. Aliyefanya manunuzi hayo yasiyo na uthibitisho atachukuliwa hatua kama mwizi maana ameshindwa kuthibitisha kama kulikuwa na manunuzi kwa utaratibu uliowekwa.

Kwa taratibu za manunuzi, kama hakuma risiti ina maana hakuna manunuzi, na kama hakuna manunuzi, hela iliyotajwa kwamba imefanya manunuzi maana yake imeibiwa. Japo yawezekana haikuibiwa, lakini ndiyo taratibu zilizowekwa na kukubalika.

Umefafanua vyema, hata kama hela zimeibiwa sio kwa wingi huo na kwasasabu kuna vitu vipo lakini havina stakabadhi ili watu wapige %
 
Tuna hitaji value for money report hizi zingine ni siasa.CAG sasa ameanza kutoa POLITICAL AUDIT REPORTS. The office is likely to become unpopular.Wajitathmini Bado wanaweza kufanya vizuri wakibadilika.CAGs waliofuata baada ya Utour wanazidi kupoteza office's credibility,kwakukubali kutumika kisiasa.Wajirekebishe warudi ktk mstari wa kitaaluma
 
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona alikuwa anatuadaa kwamba hakuna wizi?

Ripoti ya CAG wetu imejikita zaidi kuona kama sheria zilifuatwa? Hata kama hakuna Fedha iliyokwapuliwa lakini akabaini sheria imekiukwa basi yeye anachokuja nacho nikuonyesha serikali imepata hasara Jambo amabalo naamini limekuwa likipotosha umma wa Watanzania.

Mfano Kuna hoja unaona anasema mfumo ulipata itilafu na mifumo Mingine ikatumika kutoa Huduma,Kwake yeye anataka kusema tayari ni ubadhirifu wakati miundombinu Yetu inafahamika wazi kwamba Taifa halina reliable network,electricity nk. Sasa yeye badala ya kuibua ubovu wa miundombinu anakwenda kuangalia waliohudumiwa nje ya mfumo anasema serikali imepata hasara. Hoja za Haina hii haziwezi kumwajibisga mtu maana hazina evidence ni mtumishi Gani au Watumishi Gani walikwapua hizo Fedha?

Mfano mwingine kwenye ujenzi naona anacholeza nikukiukwa Kwa sheria ya manunuzi ambayo sheria Hiyo imepigiwa kelele Sana; ripoti yake inaonekana inawahukumu wale ambao waliona sheria unaleta urasimu wakaamua kufanya kazi speed nje ya sheria kurahisisha ujenzi au manunuzi.

Kwa aina hii ya riport ambayo imeandikwa ikiwa na dhima ya non compliance lakini ikahitimishwa na kiasi Cha ubadhirifu ni dhahiri kila mwaka tutaona anasema Kuna wizi wa mabilioni lakini hakuna wakuchukuliwa hatua Kwa sababu inashindwa kutofautisha wizi ( fedha kuingia mifukoni) na non compliance ( kutumia fedha Kwa KAZI iliyopangwa au kubadili matumizi bila kuweka fedha mfukoni).

Hii ripoti Kila mmoja serikalini ataipuuza Kwa sababu imechafua taasisi Kwa kuonyesha Kuna wizi kumbe ukweli ni watendaji kutozingatia sheria.

Maeneo mengi hakuna wizi Kuna ukiukwaji wa sheria.
Labda hauko conversant na audit inavyofanya kazi. CAG yuko sahihi kwa 💯% kwa kile alichowasilisha. Kazi yake ni ku raise red flag na ni juu ya Bunge kuibana Serikali. Wakipata majibu ya kurudhisha wanaifuta hoja, wakikosa Maelezo yannayokidhi ndipo wana escalate kwenye vyombo vya sheria.

Kuhusu kukiuka sheria kwenye Audit ni serious offence kuliko hata kuiba fedha. Siku zote Auditor anajiuliza ni sababu gani zilimfanya mtendaji afanye kinyume cha sheria
 
Ripoti ya CAG imekagua kuwa kutumia sheria za manunuzi na utaratibu wa manunuzi uliokubalika kisheria....kwenda kinyume na huo utaratibu kwenye macho ya kisheria huo ni wizi hata kama aliyenunua hajaiba.....na huko kwenye manunuzi nje ya mfumo ndio kwenye upigaji hasa.....Mimi nadhani CAG yupo sahihi kwa asilimia kubwa........
CAG yupo vizuri. kuna watu wameshikwa pabaya wanalialia
 
Unataka kutuambiaje.maana jambo lolote linalohusu fedha likifanyika nje ya utaratibu ni wizi.kwasababu taratibu zipo na kama zina mapungufu zinatakiwa zirekebishwe.sasa kama taasisi ya serikali inashindwa kufwata tafatibu kisha wanafanya mambo nje ya utaratibu ni nani anayemonitor hayo matumizi uko nje.kwa hili hakuna excuse kwasababu hapo inakua watu wanatengeneza mianya ya kupiga kwakisingizio cha utaratibu.Nilitegemea useme kua CAG hajakagua inavyopasa maana mauza uza ni mengi na angekua na meno makali riport ingekua chungu zaidi.Yako mengi yanaonekana ila kinachokosekana ni nani wakuchukua hatua.ndo maana hata hiyo ripot itaishia kabatini sio kwasababu CAG kakosea bali nchi haina desturi yakuchukua hatua kwenye makosa.Ni mwendo wakulindana na funika kombe kesho nawewe utakula.
 
Back
Top Bottom