wamba the great
New Member
- May 10, 2021
- 2
- 2
Anaadika mwalimu
Wilson Peter wamba
Ni aibu na jambo la kushangaza sana kwa mtu na kiongozi mkubwa wa chama na mtu aliyewahi kuingia na kuitumikia nchi yetu pendwa Tanzania kwa nafasi mbalimbali
Zitto Zubeir Kabwe mimi kama kijana wa kitanzania mzalendo kabisa leo umenishangaza sana unasema nanukuu "wanaompenda Magufuli wakazikwe naye pembeni ya kaburi lake"
Zitto Zubeir Kabwe rasmi nilianza kuijua na kujifunza siasa miaka ya 2005 na kiukweli nilikuona kama kioo cha siasa thabiti ndani ya nchi yetu ni wazi kuwa nilikuona kama Julius Malema wa Tanzania yetu
Lakini kwa tabia zako zenye chuki na ubazazi huu Hapana huna akiba ya maneno wala staha kwa waliotangulia ni aibu mtu mkubwa kama wewe kuwa mlopokaji nani atakuamini tena ? Kuwa na akiba kaka
Umekuwa na harakati za ujenzi wa ACT Wazalendo kwa kauli ya "shusha tanga na beba tanga" , na baadhi ya watanzania walitaka kusema unakuja na mbadala wa chama imara cha upinzani na chenye hisia na watanzania
Huu ufedhuri nani atasimama na wewe Zito kumbuka Magufuli lazima apendwe tu kwani ni kipenzi cha watu keshaifanyia makubwa nchi hii. Kumtukana na kumkashifu ni kuwakashifu watanzania wengi tu wenye vyama na wasio na vyama
Ccm ni moja hata kama angeongoza mbwa kwetu sisi tunapenda viongozi wetu wa chama na serikali hatupoi na wala haturudi nyuma
kwaheri Magufuli na Burian Magufuli na kauli mbiu yako hapa kazi tu ila sasa tunasema kazi na iendelee na mama Samia
Alipo mama Samia na vijana wa nchi hii tupo naye iwe ni kwa kheri au Shari ccm ni wamoja tu na bado tutahudumu
Wenye chuki na ccm au viongozi wake nao mjizike !!!
nasikia minong'ono eti 2025
Mnachukua nchi!
Nchi ipi kama ni Tanzania msahau bado kabisa maana kwa kauli zenu ni uchanga mkubwa mno hamuwezi na simuoni wa kuwapa hiyo nchi watanzania wana akili
Zubeir Kabwe acha matusi, marehemu hasemwi kwa ubaya na kama unataka kuwasema waliowahi kutawala basi yatafute na ya watangulizi wake Julius Nyerere, Ben Mkapa, na Smart man Kikwete au wao walikuwa malaika? Hawakuwa na upande wa pili wa ubaya?
Unazeeka vibaya kaka umenoa umeboa. Umeongea uchafu mkubwa sana. Jifunze kwa msigwa yupo fresh na smart
#Ccmmojanchimoja
#kidumuchamachamapinduzi
#alipomamavijanatupo
#wapesalamkigoma
#0736511240wambawison21@gmail.com