Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 8,259
- 19,075
Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini.
Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza rushwa, wizi na ufisadi. Ila katika uongozi wake wa serikali na chama tulishuhudia juhudi za dhati za kupambana na rushwa, ujangili, wizi, ufisadi, madawa ya kulevya na huduma mbovu za umma.
Matokeo yake rushwa, ufisadi, ujangili, wizi, huduma mbovu na ufisadi ulipungua sana wakati wa uongozi wake arguably kuliko uongozi mwingine wowote tulioushuhudia katika kizazi chetu.
Tangu kuuawa kwake; yote hayo yamerudi kwa kasi zaidi na serikali iliyopo hata haijali, ndio kwanza inahimiza watu kula kwa urefu wa kamba zao.
Ninatoa wito wa serikali kupambana kwa dhati na maovu haya yanayokua kwa kasi wakati huu.
Unless otherwise; Kanda ya Ziwa, wazalendo wa kweli wa nchi hii, tunamsubiri kwa hamu come 2025.
Rest in Peace our most loved President.
Kheri ya Pasaka nyote.