BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 422
- 1,049
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile.
“Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa, ubinafsi na kiburi, iwe kisiasa au kanisani, au kiburi mambo hayo hayaleti baraka. Tusimamie yaliyo ya haki, ndipo amani ya kweli inayotoka moyoni inaweza kutawala
Ameyasema hayo Jumamosi Aprili 16, 2021 wakati akitoa salamu za Pasaka kwa Watanzania, amesema kila mmoja anapaswa kusimamia haki na kweli ili amani iweze kutawala katika mioyo ya watu na hata katika Taifa.
Mwananchi wameripoti