Tulitegemea uzinduzi wa Royal Tour uwe mubashara kwenye TV kubwa kubwa

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi.

Bado hamjachelewa chukueni hatua; lakini pia jiulize kwanini tukio la Zanzibar la yule dada wa Nigeria limetoka kipindi hiki cha kuelekea kwenye uzinduzi huu? Msifanye uchunguzi wa kisiasa maana tukio Lile Lina athari Kwa utalii; aliyetenda na aliyetendewa wachunguzwe Kwa kina na taarifa iwe Wazi kuwajengea confidence watalii wasiwe na hofu .

All the best my country
 
Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi.

Bado amjachelewa chukueni hatua; lakini pia jiulize kwanini tukio la Zanzibar la yule dada wa Nigeria limetoka kipindi hiki Cha kuelekea kwenye uzinduzi huu? Msifanye uchunguzi wa kisiasa maana tukio Lile Lina athari Kwa utalii; aliyetenda na aliyetendewa wachunguzwe Kwa kina na taarifa iwe Wazi kuwajengea confidence watalii wasiwe na hofu .

All the best my country
Ni matumizi mabaya ya fedha za umma, kwanini izinduliwe Marekani badala ya Arusha?
 
Imezinduliwa ktk sehemu ambayo kuna potential customers/target market
Ukiona hujafikiwa na tangazo ujue halikuhusu. Hii ni tofauti na ile promo ya chumvi featuring King Majuto scattered in every corner of the city
 
Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi.

Bado amjachelewa chukueni hatua; lakini pia jiulize kwanini tukio la Zanzibar la yule dada wa Nigeria limetoka kipindi hiki Cha kuelekea kwenye uzinduzi huu? Msifanye uchunguzi wa kisiasa maana tukio Lile Lina athari Kwa utalii; aliyetenda na aliyetendewa wachunguzwe Kwa kina na taarifa iwe Wazi kuwajengea confidence watalii wasiwe na hofu .

All the best my country
Hizo screen za nini wakati walengwa sio sie?

Amandla...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom