Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Barabara iliyokuwa inajengwa kwa kasi ya njia nane kutoka Dar hadi Kibaha imekwama kumalizika ujenzi wake kutokana na ukosefu wa fedha,Tanroads wamebainisha. Waziri wa ujenzi prof Mbarawa...
6 Reactions
141 Replies
16K Views
Mimi maswali yangu ni haya;~ Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje 1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo? 2. Kujenga madaraja yote haya? 3. Kujenga Fly over...
40 Reactions
114 Replies
6K Views
Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wabunge wa ccm wengi wa sasa walikuwa na jambo Lao na hayati JPM, Hivyo kuondoka kwake Jumla amewaachia kihoro na mawazo yanayohitaji tiba ya akili. Mbunge kama Joseph Gwajima alitumia kanisa...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa. Faida ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko...
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Wakati Sumaye akiwa Waziri mkuu watu wengi waliuliwa kwa kupigwa risasi kinyama kama tembo wauliwavyo na wawindaji haramu. Matukio ya kutisha ni kuuliwa kwa ndugu zetu waliokuwa wakitokea...
2 Reactions
115 Replies
16K Views
Mzee Mgaya anasema Zitto Kabwe anajarinu kuweka mazingira mazuri ili 2025 inshallah rafiki yake wa hapo CCM agombee urais RA amerudi na ZXK anaelewa wazi 2030 huyu bingwa wa siasa za CCM lazima...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuna siku niliona clip moja ina triend ikisema Shabiby alipuka bungeni, mara kidogo nikaona nyingine ya Mbunge wa Korogwe na ishu ya MSD, sijakaa sawa nikaona nyingine ya mbunge ana msakama...
0 Reactions
1 Replies
544 Views
Huyu mzee kuna mengi sana aliyafanya, pia machache alikosea kama mwanadamu, lakini mengi amekuwa akionewa sana. Je ni upole wake? Naye huamua kukaa kimya bila kujibu tuhuma, matusi, kejeli na...
15 Reactions
82 Replies
5K Views
RAIS MAGUFULI "HUYO ANA USHAHIDI, MSHIKENI MPAKA ATOE USHAHIDI" Siku hizi kumekuwa na tabia ya hovyo imejitokeza kwa baadhi ya Watanzania wachache. Kila kitu kinachofanywa ni Usalama wa Taifa...
78 Reactions
414 Replies
45K Views
Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais? 1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa...
11 Reactions
85 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho. Amesema makundi hayo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine Aliyekuwa Waziri wa...
5 Reactions
76 Replies
10K Views
Kwenye maisha tunayoishi, ni muhimu kujifunza kupitia vitabu hivi, 1. THINGS FALL APART - By Sabaya Itakusaidia saana kujua kuwa kuna siku madaraka huisha na kutakiwa kuwajibika kwa yale...
3 Reactions
6 Replies
852 Views
WATUMIAJI WA MITANDAO TUJISAHIHISHE UDIKTETA WETU Na Zawadi Lupelo Ndugu wapendwa wangu mitandaoni mimi ni muumini wa kweli wa uhuru wa maoni nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Kumekuwepo...
10 Reactions
105 Replies
6K Views
Taarifa ya CCM Kuhusu Uzinduzi Royal Tour Jumatatu, April 18, 2022 #ChamaImara #KaziIendelee
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanabodi, Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo hili muhimu la kiusalama Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na...
18 Reactions
192 Replies
19K Views
Najua ni mambo ya utaratibu tu. Ila zamani kamati za bunge zilikuwa zinafanya kazi kubwa sana na nadhani kulikuwa hakuna bahasha za kaki siku zile. Ila sasa utaona Kamati za CCM zinakagua miradi...
3 Reactions
10 Replies
834 Views
Awali mshirika mkuu wa CCM alikuwa ni TLP ya Augustino Mrema na kiukweli Lumumba ilipelekeshwa sana na Ufipa hadi pale Shujaa Magufuli alipoingia madarakani na kumkabidhi rungu komredi Polepole...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom