Mwanasiasa Zitto Kabwe amempongeza kauli ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuhusu umuhimu wa haki.
Zitto ameandika: “Asante sana Nape Nnauye kwa msisitizo huu...
Hali wadau wa JF, habari zenu.
Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa huko wilayani Ngorongoro. Ni kwa upande wa elimu ya Msingi na secondary.
Ikumbukwe hivi Sasa Kuna fukuto la kuwahamisha...
Inaelezwa kuwa utendaji wa viongozi wa vijiji umekuwa ukikabiliwa na changamoto mbalimbali kutokana na viongozi wengi kutokuwa tayari kushirikisha wananchi katika utekelezaji wa majukumu...
KINANA ATEMBELEA OFISI ZA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametembelea ofisi za...
SASA NI ZAMU YA LOS ANGELES. NI KESHO ALHAMISI, UZINDUZI WA PILI WA ROYAL TOUR.
Na Bwanku M Bwanku.
Baada ya Juzi Jumatatu Aprili 18, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan kuusimamisha Ulimwengu wakati...
Rai yangu, Historia ya Paul Makonda Iwasisimue (inspire)Vijana wanapokutana na changamoto kwenye maisha na kujifunza namna ya kushinda.
Juzi hivi nilipata kumsikiliza Mh Paul Makonda akielezea...
Rais wa nchi, leo amevitaka vyama vya siasa kuwa na vyanzo vya mapato vitakavyosaidia kujiendesha Ili kuepuka kutegemea ruzuku za serikali.
Katika maelezo yake wakati wa kupokea Ripoti ya kikosi...
Wakuu habarini za kazi,
Katika pitapita zangu nimekutana na Hii Habari ya Azma ya Serikali Kujenga Shule Maalumu katika mikoa Takribani 10 zitakazofundisha Sayansi na teknolojia tu Kwa Jinsia ya...
UKWELI KUHUSU ONGEZEKO LA BEI ZA BIDHAA NA GHARAMA ZA MAISHA
Watu wengi wamekuwa wakitoa maoni yao huku wengi wakiishia kuilaumu Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan juu ya ongezeko la bei za...
Salaam Wakuu,
Natumia nafasi hii kumpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo kwa kuipaisha Kisarawe, Kielimu na Kiuchumi.
Wakati anateuliwa nilimbeza sana na kumuona kama kapendelewa...
RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) na kuagiza wizara kuichukulia hatua bodi ya mamunuzi kwa kutoa...
Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni...
Miaka michache kabla ya kifo cha Nyerere, ilianzishwa taasisi iliyoitwa Mwalimu Nyerere Foundation (MNF), taasisi hii iliendelea hata baada ya kifo cha mwalimu ikiwa chini ya uenyekiti wa Salim...
Herehoa!
Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala!
Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida!
Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi...
Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge...
Wana jf 2025 sioni mpinzani yoyote anaewaza kushindanishwa na Raisi samia suluhu hasani ,ndani ya mwaka mmoja wote nimashahidi na tumejioneo makubwa aliyoyafanya.
Amejenga madarasa karibia alfu...
Mwaka jana mwezi Novemba ulienda kiwanda cha mabomba pale Ubungo na kukagua mabomba ya mradi wa maji kutoka Mitema kwenda Mangombya hadi Mkwiti wilaya ya Tandahimba mkoani mtwara. Ukaagiza...
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.