Katika kipindi cha miaka 2 ijayo jiji la Dar es Salaam litashuhudia structures mpya katika mitaa yake ambapo wilaya 5 za Dar es Salaam zitafungwa fire hydrants 3000.
Dawasa na jeshi la zimamoto...
Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia...
Kwa muda mrefu kumekuwepo na maneno, miguno na hisia hasi kuhusu kauli ya Mwalimu Nyerere dhidi ya Comrade Lowassa. Hisia hizi na upotoshaji wa namna hii unafanywa na watu wasioujua ukweli...
Wakuu
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yalifanyika katika mwaka wa fedha 2016/2017
Kwa kuwa CAG hukaguzi hesabu za serikali baada ya mwaka wa fedha kuisha,yaani ukaguzi wa hesabu za 2016/2017...
Kila mwaka CAG hutoa ripoti yake ya ukaguzi wa fedha za umma ambayo huwa inaonyesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma katika maeneo mbalimbali hasa TAMISEMI.Kuna taarifa za kufedhesha sana jinsi...
Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa...
Amani ya bwana.
Jinsi tunavyokaribia uchaguzi wa 2020 vyama vya upinzani vimebanwa vilivyo na kasi ya Rais Magufuli.
Njia pekee ya chadema kutokea ilikuwa ni kuhusu hili la watumishi wa uma...
Wadau Tulitangaziwa na CCM kuwa Magufuli ni Mzalendo wa kweli Rais wa Wanyonge Rais Mwenye Uchungu na Nchi yake je kwa Mfululizo wa REPORT za CAG zenye kuonesha UBADHILIFU wa KUTISHA kila SEHEMU...
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa...
Siasa ni msingi wa mambo mengi hapa diniani. Siasa iko kila sehemu, kanisani, makazini, na hata kwenye kumbi za starehe.
Siasa ni Imani, mtu akiishi kwenye mlengo furani wa siasa na akakolea ni...
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali CAG, Prof. Mussa Assad amefunguka kufuatia majadaliano yanayoendelea nchini juu ya trilioni 1.5 amabzo zinadaiwa kutofahamika zimetumika katika shughuli...
CAG mstaafu mzee Uttoh amesema ripoti ya CAG ya 2019/2020 ilionyesha ufisadi mkubwa kiasi cha kushangaza hii maana yake ni kuwa panapokuwa na uongozi mkali wapigaji wanakuwa wachache lakini...
Profesa Assad anajua...tena anajua sana serikali ya Awamu ya 5 isivyo na discipline na matumizi ya fedha za umma ndo maana akiwa mcha Mungu wa kweli ameamua kusema ukweli anaoujua japo anazunguka...
Anasema anatamani mahojiano yake na kamati ya maadili yawekwe wazi ili kila mtu aone amehojiwa nini na yeye amejibu nini?
Kwa sababu Ndugai ni mtu muadilifu naamini mahojiano ya Kamati ya maadili...
Msikilize Professor alivyotulia akipangua hoja za mwandishi wa Idhaa ya Umoja wa Mataifa ngazi kwa ngazi. Ilikuwa July 2018
Anasema tuwe na taasisi imara zaidi kuliko watu wenye nguvu. Hili...
Uchambuzi wa ACT Wazalendo Kuhusu Maeneo Kumi (10) Muhimu Kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18
- Ikulu Yatumika Kuficha Ukaguzi wa...
Ameandika hivyo kupitia twitter:
Nimemsikiliza Prof. Mussa Assad kuhusu ufisadi katika taasisi za umma. Miradi mikubwa ya Magufuli, ndege za ATCL, SGR, Stiegler's Gorge, n.k., ni majanga yajayo...
Kama tunakumbuka vizuri, ripoti ya kwanza ya CAG Assad baada ya kuingia kwa awamu ya 5 pamoja na ubadhirifu mwingine ilionesha ufisadi wa kiasi cha pesa 1.5 Trilioni ambacho hakikuoneka wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.