CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,165
4,581
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.

Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.

Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
 
Wafuasi wengi akina nani?

Wanyonge,bodaboda,na mama lishe?

That bloody JPM is dead and gone

CHADEMA huyo jpm aiikuta na akaiicha

Mbona chini ya Mama CHADEMA wanakula na kusaza?

Muiige wewe kamanda uchwara
 
Back
Top Bottom