Ufisadi umetokea awamu zilizopita wakati mkataba umesainiwa June, 15, 2021?

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) na kuagiza wizara kuichukulia hatua bodi ya mamunuzi kwa kutoa tenda ya ujenzi wa meli 5 kwa kampuni ‘hewa’.

Maamuzi ya Rais Samia leo Dis. 4 yanafuatia uchunguzi wa kina uliofanywa na timu maalumu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa kampuni ya Uturuki, YÜTEK iliyoshinda tenda kujenga meli tano za abiria na mizigo za kampuni ya Meli nchini.

Dau hili lenye thamani ya Sh bilioni 438.8 lilisainiwa mjini Mwanza Jun. 15, 2021 nakushuhudiwa na Rais Samia. Hata hivyo timu iliyohusisha wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Askari kutoka kikosi ya wanamaji, na wataalamu kutoka MSCL ilibaini kuwa YÜTEK haikuwa na uwezo wa kifedha wala wataalamu kutekeleza mkataba huo.

“Nimeagiza Waziri na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuvunja mkataba huo… hata hivyo uwezo wangu ni kuvunja bodi hivyo wenyeviti wote wawili nimewaondoa,” alisema Rais Samia wakati akizindua maboresho ya gati za Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Samia amesema mkandarasi huyo alikuwa ameweka wakala nchini aliyekuwa anufaike kati ya Dola za Marekani milioni 1.9 hadi 2 kwa kila meli itakayo jengwa.

Kwa mujibu wa taarifa ya uchunguzi, Mkandasi huyo hana eneo la kujenga meli (shipyard) badala yake wao ni madalali wa kutafuta kazi na kutoa kwa kampuni zingine. Pia ilibainika kwamba uwezo wa kampuni kifedha ni mdogo mno.

Wasifu na uwezo wake katika ujenzi ni wa mashaka kwani haipo hata kwenye orodha ya wajenzi wa meli inayotolewa na umoja wa wajenzi wa meli Uturuki. “Hili ndio liliotuthibitishi kwamba hawa ni madalali. hawakuwa na watu wenye sifa na vifaa vya kujenga meli. hadi sasa kampuni hiyo haijafanya lolote,” amesema Rais Samia.

Mkuu huyo wa nchi amehoji ikiwa uwezo wa kampuni hiyo ulikuwa ni kutengeneza boti ndogo.

“Tujiulize tenda hii ilitolewa na bodi husika ya wizara ama shirika. Shirika linabodi ya wakurugenzi ambao wamepitisha tenda hii lakini pia mkandarasi alifanyiwa due diligence. Sasa haya tumeyabaini hivi karibuni, huko nyuma yametokea mangapi?” alihoji nakutaka tenda bodi iliyohusika, bodi ya wakurugenzi kuwajibishwa.

Chanzo: Habari leo
 
Akina Majaliwa waliojaliwa vyeo😁😁😁
1638006971_1638006971-picsay.jpg
 
Kwa hiyo tumepigwa!

Vv
 
Tatizo Samia anapambana kuivuruga legacy ya JPM kwa kutumia "Makapi" yaliyokataliwa na JPM.

Asilalamike, serikali ni yake, akiona fisadi amshughulikie, na kama JPM alikuwa na ufisadi basi na Samia Suluhu Hassan ni FISADI.

Kashindwa kuendesha taifa kwa kujaribu kuwa mpole na kuwaondoa wachapakazi akidanganywa eti ni "SUKUMA Gang".
 
Nafikiri watu waliomzunguka Mh Rais wanashindwa kumsaidia. Kuanzia handling ya mpango wa kumchafua JPM, mfumuko wa bei usioeleweka! Matatizo ya maji na umeme! Kesi ya Mbowe ya kubumbabumba! Zinambomoa mama kuliko kumjenga.

Hii awamu ya sita hawatoweza kumbomoa JPM wakaeleweka na umma kwasasa, wadeal na issue zao hesabu 2025.
 
zitto junior unaona? Acha kubwabwaja
 
Wale wote waliomtukana ma
Mambo ya meli meli yalipendwa awamu ya tano,inakotoka bodi na wakurugenzi wake
Wale wote waliomtukana Magufuli na kumshangilia mama ndo hao sasa wameanza kuweka mikataba yao na kufurahia uwekezaji ambao ilisemekana Magufuli amefukuza
Sasa inatakiwa apambane nao,

Na ndio wanampamba na kumpigania hapa JF ili waendelee kulainisha vyuma vilivyokaza enzi ya Magufuli.
 
Nafikiri watu waliomzunguka Mh Rais wanashindwa kumsaidia. Kuanzia handling ya mpango wa kumchafua JPM, mfumuko wa bei usioeleweka! Matatizo ya maji na umeme! Kesi ya Mbowe ya kubumbabumba! Zinambomoa mama kuliko kumjenga.

Hii awamu ya sita hawatoweza kumbomoa JPM wakaeleweka na umma kwasasa, wadeal na issue zao hesabu 2025.
Kabisa mkuu
 
Biden kaamuru mapipa 50m ya mafuta yaingizwe sokoni kupunguza Bei za nishati kupata ambapo inasababisha kupanda kwa Bei za bidhaa zingine,na opec wamekubaliana kutochukua hatua za kupunguza Bei za nishati, muwe mnafuatilia mambo.
Nafikiri watu waliomzunguka Mh Rais wanashindwa kumsaidia. Kuanzia handling ya mpango wa kumchafua JPM, mfumuko wa bei usioeleweka! Matatizo ya maji na umeme! Kesi ya Mbowe ya kubumbabumba! Zinambomoa mama kuliko kumjenga.

Hii awamu ya sita hawatoweza kumbomoa JPM wakaeleweka na umma kwasasa, wadeal na issue zao hesabu 2025.
 
Wale wote waliomtukana ma

Wale wote walio mtukana magufuri na kumshangilia mama ndo hao sasa wameanza kuweka mikataba yao na kufulahia uwekezaji ambao ilisemekana mahufuli amefukuza
Sas inatakiwa apambane nao
Kweli kabisa kwa sababu kwenye kipindi cha msiba tu wizara ya fedha waligawana zaidi ya billioni 2 na waziri mkuu akakubali kuwa dosari zimeanza kuonekana kuanzia mwezi March.
 
Tatizo Samia anapambana kuivuruga legacy ya JPM kwa kutumia "Makapi" yaliyokataliwa na JPM.

Asilalamike, serikali ni yake, akiona fisadi amshughulikie, na kama jpm alikuwa na ufisadi basi na Samia Suluhu Hassan ni FISADI.

Kashindwa kuendesha taifa kwa kujaribu kuwa mpole na kuwaondoa wachapakazi akidanganywa eti ni "SUKUMA Gang".

Kwahiyo rais asichukue hatua ili alinde legacy ya Magufuli.

Mikataba ulisainiwa June 2021,Magufuli anahusikaje hapa. Na hata ingekuwa mikataba ilisainiwa kipindi chake kwamba km Kuna mapungufu basi Rais asichukue hatua. Kwani huyo Magufuli alikuwa Malaika asiye na mapungufu?

Kwamba Sasa watu wakitaka kufanya kazi waende wakamuulize Magufuli Kwanza ili walinde legacy yake.Kwasababu chochote tutakachofanya kwa Sasa lazima wazo liwe lilikuwa la Magufuli.Na yale aliyofanya hatutakiwi kurekebisha sababu Ni malaika asiyekosea.

Na SSH angeamua akaifuta serikali na wateule wote wa Mwendazake leo mngekuwa mnaimba nini?

Magufuli amepita na zama zake zimepita.Imebaki historia.Watakuja maraisi na kila mmoja atakuwa na style yake ya kuongoza. Na atafanya kazi na watu anaoona wanamfaa. Adui wa Magufuli si adui wa Samia
 
Machi 17 mpaka June 30 ni

Machi 17 mpaka June 30 ni miezi mitatu,unadhani mikataba wa mamia ya mabilioni ulosainiwa julai mosi una mkono wa rais mpya!?..ni wa miezi mitatu!?..hapana,umetoka huko nyuma,katulia,kachunguza,kajiridhisha,ameuvunja
Hata kusoma hujui?
Aache kukamatwa aliyeweka saini kwenye mkataba akakamatwe mwingine!!!
 
Machi 17 mpaka June 30 ni

Machi 17 mpaka June 30 ni miezi mitatu,unadhani mikataba wa mamia ya mabilioni ulosainiwa julai mosi una mkono wa rais mpya!?..ni wa miezi mitatu!?..hapana,umetoka huko nyuma,katulia,kachunguza,kajiridhisha,ameuvunja
Kwa kweli hamumpendi yule jamaa kila kitu ni yeye serikali ni kubwa mno na raisi anajitahidi hatoweza kucontrol kila sehemu na hao wakurugenzi ni watu wanawaamini na ndo wanawaangusha

Msiende kulala na kunyooshewa vidole kwa chuki ishu imegundulika basi raisi kuchukua hatua
 
RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) na kuagiza wizara kuichukulia hatua bodi ya mamunuzi kwa kutoa tenda ya ujenzi wa meli 5 kwa kampuni ‘hewa’.

Maamuzi ya Rais Samia leo Dis. 4 yanafuatia uchunguzi wa kina uliofanywa na timu maalumu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa kampuni ya Uturuki, YÜTEK iliyoshinda tenda kujenga meli tano za abiria na mizigo za kampuni ya Meli nchini.

Dau hili lenye thamani ya Sh bilioni 438.8 lilisainiwa mjini Mwanza Jun. 15, 2021 nakushuhudiwa na Rais Samia. Hata hivyo timu iliyohusisha wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Askari kutoka kikosi ya wanamaji, na wataalamu kutoka MSCL ilibaini kuwa YÜTEK haikuwa na uwezo wa kifedha wala wataalamu kutekeleza mkataba huo.

“Nimeagiza Waziri na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuvunja mkataba huo… hata hivyo uwezo wangu ni kuvunja bodi hivyo wenyeviti wote wawili nimewaondoa,” alisema Rais Samia wakati akizindua maboresho ya gati za Bandari ya Dar es Salaam.

Rais Samia amesema mkandarasi huyo alikuwa ameweka wakala nchini aliyekuwa anufaike kati ya Dola za Marekani milioni 1.9 hadi 2 kwa kila meli itakayo jengwa.

Kwa mujibu wa taarifa ya uchunguzi, Mkandasi huyo hana eneo la kujenga meli (shipyard) badala yake wao ni madalali wa kutafuta kazi na kutoa kwa kampuni zingine. Pia ilibainika kwamba uwezo wa kampuni kifedha ni mdogo mno.

Wasifu na uwezo wake katika ujenzi ni wa mashaka kwani haipo hata kwenye orodha ya wajenzi wa meli inayotolewa na umoja wa wajenzi wa meli Uturuki. “Hili ndio liliotuthibitishi kwamba hawa ni madalali. hawakuwa na watu wenye sifa na vifaa vya kujenga meli. hadi sasa kampuni hiyo haijafanya lolote,” amesema Rais Samia.

Mkuu huyo wa nchi amehoji ikiwa uwezo wa kampuni hiyo ulikuwa ni kutengeneza boti ndogo.

“Tujiulize tenda hii ilitolewa na bodi husika ya wizara ama shirika. Shirika linabodi ya wakurugenzi ambao wamepitisha tenda hii lakini pia mkandarasi alifanyiwa due diligence. Sasa haya tumeyabaini hivi karibuni, huko nyuma yametokea mangapi?” alihoji nakutaka tenda bodi iliyohusika, bodi ya wakurugenzi kuwajibishwa.

Chanzo: Habari leo
Hata kama ulisainiwa June 2021 pre contract negotiations zote za wapigaji zilifanyika muda mrefu uliopita awamu ya 5.

Awamu ya 5 ndio waliohusika na hilo kusema kuwa mama alikuwepo kwenye cabinet kwa hulka ya kiongozi wa awamu ya 5 alikuwa hakubali ushauri zaidi na anachopenda yeye na wapambe wake.
 
Akina Majaliwa waliojaliwa vyeo
View attachment 2032939
Hili neno "AWAMU YA 6" ni lugha tu ya KISIASA na ni MWAMVULI wa kujifichia ili kuepuka JOTO KALI la kisiasa na kukwepa UWAJIBIKAJI. Serikali ya sasa INAMALIZIA ile miaka 5 ya Hayati JPM, lkn Viongozi ni WALE WALE! Tuache PROPAGANDA zisizo na MASHIKO. Kukubali MAKOSA siyo UDHAIFU.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Dau hili lenye thamani ya Sh bilioni 438.8 lilisainiwa mjini Mwanza Jun. 15, 2021 nakushuhudiwa na Rais Samia. Hata hivyo timu iliyohusisha wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Askari kutoka kikosi ya wanamaji, na wataalamu kutoka MSCL ilibaini kuwa YÜTEK haikuwa na uwezo wa kifedha wala wataalamu kutekeleza mkataba huo.
Hapana. Magufuli ndiye alisaini mkataba na ndiye alizindua ujenzi wa chelezo huko Mwanza. Hiyo tarehe unayoitaja rais Samia alienda kuidhinisha malipo tu.

Ufisadi umefanywa na Magufuli & co
 
Back
Top Bottom