Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, iweje umdhihaki Hayati Magufuli?

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.

Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike

Zitto, Je, nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.

Hajui maumivu aliyoyapata yeye ndio wanayoyapata hao wafuasi na ndugu wa Magufuli, mkuki kwa nguruwe..

Naona maneno aliyotoa hayakuwa na heshima, na hayapaswi kutolewa na kiongozi wa hadhi yake, vyema awe anachagua maneno kulinda image yake na chama chake, apunguze mihemko.
 
Accnt Yao ya Twitter imekosa mvuto , watu hawana habar nayo sa hv wameamua kuja live live , mda huwa haudanganyi ,
 
Hajui maumivu aliyoyapata yeye ndio wanayoyapata hao wafuasi na ndugu wa Magufuli, mkuki kwa nguruwe..

Naona maneno aliyotoa hayakuwa na heshima, na hayapaswi kutolewa na kiongozi wa hadhi yake, alikuwa na mihemko.
View to a kill.

IMG_20211028_135238_003.jpg
 
kijana ameshachanganya mahesabu anajificha nyuma ya kivulicha hayati,ifike mahali tuachane na marehemu tunasahau mambo ya msingi
 
Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.

Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike

Zitto, JE? nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.

View attachment 2193743
Mama yake zitto hakuwa fisadi, mwiz8, mporaji na muuaji.
 
Kwa maneno hayo ni dhahiri zitto ana vinasaba vya congo ama burundi. Huu si utanzania hata kidogo .marehemu nae ana familia kama huyu kima alivyokuwa anajiliza bungeni
 
Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.

Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike

Zitto, Je, nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.

View attachment 2193743
Neno la Mungu linasema: RUSHWA hupofusha UFAHAMU, yoote unayomkumbusha hayakumbuki tena. Zzzztow Mpuuzi APUUZWE😠.
 
Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.

Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike

Zitto, Je, nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.

View attachment 2193743
Aisee
 
Atajiskia vizuri.
 
Back
Top Bottom