Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

Aug 21, 2016
33
504
Rai yangu, Historia ya Paul Makonda Iwasisimue (inspire)Vijana wanapokutana na changamoto kwenye maisha na kujifunza namna ya kushinda.

Juzi hivi nilipata kumsikiliza Mh Paul Makonda akielezea historia ya maisha yake iliyojaa changamoto nyingi. Clip hiyo ikanikumbusha maneno aliyoniambia Paul Makonda mwaka 2009 wakati tunakwenda Dodoma. Alivyoeleza kwenye clip ndivyo alivyonisimulia siku ile tukiwa safarini kwenda Dodoma. Siku ile alipokuwa akinisimulia aliishia kulia kwa uchungu. Pia niliumia sana.

Alipokuwa akinisimulia, mara kwa mara Paul Makonda alisema "lakini sikukata tamaa niliendelea kumtumaini Mungu". Hakukata tamaa na ndiyo sababu ya yeye kufika alipofika.

Kuna picha inaonyeshwa na kudaiwa hapo ndipo alipozaliwa. Sehemu duni. Kuna picha zinaonyeshwa Paul akiwa kwenye mazingira duni, kuna picha zinamwonyesha akilia, lengo ni kumdhalilisha.
Rejeeni historia za watu maarufu duniani leo, wengi walikuwa watu wa kawaida na huenda duni lakini walikabiliana na changamoto bila kukata tamaa na wakashinda. Mmoja ni Baraka Obama.

Obama kwao ni Kenya. Na alipokuwa anagombea mara ya kwanza republicans walitoa picha ya Obama akiwa na bibi yake kijijini kwenye nyumba duni, lengo wamdhalilishe. Obama hakukata tamaa na hatimae akawa rais wa Marekani ambayo yalikuwa makusudi ya Mungu.

Hakuna binaadam amayepanga azaliwe wapi na wazazi wapi. Watu wengi, kwa kukabiliana na changamoto katika maisha hufanikiwa kubadili maisha yao na kufikia mafanikio makubwa, hasa kwa kutokata tamaa na kumtumaini Mungu. Vijana nilidhani mngejifunza hilo kwa Paul Makonda badala ya kukejeli.

Kingine ambacho nimeona nikiandike, mimi ukweli nashangaa kuona wengi wanaomdhihaki Paul Makonda siyo wapagani. Ni watu wenye dini, tena dini maarufu. Inasikitisha sana.

Kuwa na dini na kumjua Mungu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa kiongozi wa dini lakini humjui Mungu wa Kweli. Tabia moja kuu ya Mungu ni upendo. Mungu ni pendo. Pendo huvumilia, hustahimili, nk. Hivyo, tabia hii inatakiwa kudhihirika kwa watumishi wa Mungu.

Yesu Kristo alimfunua au alidhihiridha upendo wa Mungu alipokuwa msalabani akiteseka ili aukomboe ulimwengu. Akiwa msalabani alisamehe, hakulaani. Alipnyesha upendo wa Mungu. Alipotukana na kudhihakiwa hakurudidha mashambulizi bali alibariki. Aliposingiziwa, hakuwatisha waliomsingizia bali aliwaombea. Yesu Kristo alitoa pepo na kuyaelekeza apepo yaende kwa nguruwe, hakuyapeleka kwa binaadamu aliokuja kuwaokoa.

Lakini hali inavyoonekana sasa inasikitisha. Hilo nalo tujifunze.

Vijana wengi wanaangamia kwa kutumia madawa ya kulevya. Bila hatua madhubuti kuchukiliwa, ninahofu inawezekana Tanzania ikatawaliwa tena. Tena kirahisi tu. Hapatakuwa na rasilimali watu wenye kuwajibika na kulilinda Taifa hili.

Paul Makonda kathubutu, vijana na watanzania kwa ujumla, tuache itikadi ya vyama vya siasa tuunge mkono juhudi za kupiga vita madawa ya kulevya kwani madawa ya kulevya yanalingamiza taifa.
 
Paul Makonda kadhubutu, vijana na watanzania kwa ujumla, tuache itikadi ya vyama vya siasa tuunge mkono juhudi za kupiga vita madawa ya kulevya kwani madawa ya kulevya yanalingamiza taifa.

Dah, uandishi mzuri sana, ila mi umenikwaza tu ulipoanza na vita vya madawa ya kulevya ... na wote mnaishia hapa. Nani amekataa hii vita ya muhimu ambayo inaendelea? haramu ni haramu tu. Shule ni Ngumu Kaka, na wote tumesoma kwa dhiki na tunapambana na tabu zetu, mtu mwingine kutumia vyeti visivyo halali (NI TUHUMA TU AMBAZO HAZIJATHIBITISHWA, SITAKI KUHUKUMU) ni makosa kisheria, kama yalivyo makosa mengine. Hatuwezi acha kemea haya kwa propaganda cheap. Hata mimi nitafurahi akiwa anasingiziwa, ni kijana mwenzangu na akifanikiwa sisi vijana tutaendelea kuaminiwa, ila iwe kwa halali.
 
Watu watakuja ponda hii mada yako, ila Makonda had good intentions, vyeti ni kitu gani kwani, hakuna evidence yeyote ya cheti chake hadi sasa. Na watu wanaojifanya washika dini ndio viumbe hatari sana duniani. History is a witness.
 
Nyie wana siasa mbona mnapenda sana kumuweka mungu ili kushika mioyo ya watu? Hivi hamna card nyingine za kurusha?
Shida sio maisha aliyopitia, yawe magumu yasiwe magumu, na shida sio madawa, shida ni vyeti, mbona we ni mtu mzima na heshima zako zote, hili dogo unashindwa vipi kulielewa?

Jambazi akienda kuua mtu na kumpora tumuache kwa kua alizaliwa pagumu? au tumuache kwa kua anajuajua kumtaja mungu?
Kosa ni kosa tu, maneno mengi umeandika hapo useless, swala ni vyeti original vipo havipo? kama vipo vionyeshwe tumalize hili sakata tufanye mambo mengine.
 
Naam vijana tunapiga vita madawa ya kulevya na tunaounga mkono wote wenye kushiriki kwa namna moja au nyingine kupambana na mihadarati Lakini pia tunapiga vita ukanjanja katika elimu. Tunaona kuwa ni haki pia tuhuma hizi zihakikiwe na hatua zichukuliweaama kumsafisha au kumwajibisha. Je unaunga mkono kufoji vyeti? Je ni tuhuma nyepesi kwako hizo?
 
Hizi njaa zinawafanya mnakua vituko... Hayo yote yasingetokea kama angeweka vyeti hadharani..Mbona ni kazi rahisi sana? By the way bado hawajapata sehemu ya kukusaidia? Nikukumbushe kwamba kufoji cheti ni kosa la jinai nchi hii!
 
Umenena vyema mkuu wenye moyo mbaya bandiko lako hawawezi kutoa maoni Yao ni kawaida ya shetani marehemu kugeuza mema kua mabaya huyo ndiye mwanadamu ambaye Mungu Alimghairi ni vyema sana li apokuja swala la maslahi mapana ya taifa watu waache utoto .
 
Rai yangu, Historia ya Paul Makonda Iwasisimue (inspire)Vijana wanapokutana na changamoto kwenye maisha na kujifunza namna ya kushinda.

Juzi hivi nilipata kumsikiliza Mh Paul Makonda akielezea historia ya maisha yake iliyojaa changamoto nyingi. Clip hiyo ikanikumbusha maneno aliyoniambia Paul Makonda mwaka 2009 wakati tunakwenda Dodoma. Alivyoeleza kwenye clip ndivyo alivyonisimulia siku ile tukiwa safarini kwenda Dodoma. Siku ile alipokuwa akinisimulia aliishia kulia kwa uchungu. Pia niliumia sana.

Alipokuwa akinisimulia, mara kwa mara Paul Makonda alisema "lakini sikukata tamaa niliendelea kumtumaini Mungu". Hakukata tamaa na ndiyo sababu ya yeye kufika alipofika.

Kuna picha inaonyeshwa na kudaiwa hapo ndipo alipozaliwa. Sehemu duni. Kuna picha zinaonyeshwa Paul akiwa kwenye mazingira duni, kuna picha zinamwonyesha akilia, lengo ni kumdhalilisha.
Rejeeni historia za watu maarufu duniani leo, wengi walikuwa watu wa kawaida na huenda duni lakini walikabiliana na changamoto bila kukata tamaa na wakashinda. Mmoja ni Baraka Obama.

Obama kwao ni Kenya. Na alipokuwa anagombea mara ya kwanza republicans walitoa picha ya Obama akiwa na bibi yake kijijini kwenye nyumba duni, lengo wamdhalilishe. Obama hakukata tamaa na hatimae akawa rais wa Marekani ambayo yalikuwa makusudi ya Mungu.

Hakuna binaadam amayepanga azaliwe wapi na wazazi wapi. Watu wengi, kwa kukabiliana na changamoto katika maisha hufanikiwa kubadili maisha yao na kufikia mafanikio makubwa, hasa kwa kutokata tamaa na kumtumaini Mungu. Vijana nilidhani mngejifunza hilo kwa Paul Makonda badala ya kukejeli.

Kingine ambacho nimeona nikiandike, mimi ukweli nashangaa kuona wengi wanaomdhihaki Paul Makonda siyo wapagani. Ni watu wenye dini, tena dini maarufu. Inasikitisha sana.

Kuwa na dini na kumjua Mungu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa kiongozi wa dini lakini humjui Mungu wa Kweli. Tabia moja kuu ya Mungu ni upendo. Mungu ni pendo. Pendo huvumilia, hustahimili, nk. Hivyo, tabia hii inatakiwa kudhihirika kwa watumishi wa Mungu.

Yesu Kristo alimfunua au alidhihiridha upendo wa Mungu alipokuwa msalabani akiteseka ili aukomboe ulimwengu. Akiwa msalabani alisamehe, hakulaani. Alipnyesha upendo wa Mungu. Alipotukana na kudhihakiwa hakurudidha mashambulizi bali alibariki. Aliposingiziwa, hakuwatisha waliomsingizia bali aliwaombea. Yesu Kristo alitoa pepo na kuyaelekeza apepo yaende kwa nguruwe, hakuyapeleka kwa binaadamu aliokuja kuwaokoa.

Lakini hali inavyoonekana sasa inasikitisha. Hilo nalo tujifunze.

Vijana wengi wanaangamia kwa kutumia madawa ya kulevya. Bila hatua madhubuti kuchukiliwa, ninahofu inawezekana Tanzania ikatawaliwa tena. Tena kirahisi tu. Hapatakuwa na rasilimali watu wenye kuwajibika na kulilinda Taifa hili.

Paul Makonda kadhubutu, vijana na watanzania kwa ujumla, tuache itikadi ya vyama vya siasa tuunge mkono juhudi za kupiga vita madawa ya kulevya kwani madawa ya kulevya yanalingamiza taifa.
Mimi sidhani kama kuna mtu anapingana na ujasiri wake juu ya vita ya dawa za kulevya, tatizo kubwa hapa historia ya Elimu yake, maana kuna wengi wameadhibiwa kutokana na utata wa elimu zao.. Tusitumie mwamvuli wa madawa kuhalalisha maovu mengine..
 
Watu watakuja ponda hii mada yako, ila Makonda had good intentions, vyeti ni kitu gani kwani, hakuna evidence yeyote ya cheti chake hadi sasa. Na watu wanaojifanya washika dini ndio viumbe hatari sana duniani. History is a witness.
kuna njia moja kubwa ya kuua mjadala wa makonda, na ni yeye mwenyewe anaeweza!! afanye hicho cha kuua huu mjadala
 
Rai yangu, Historia ya Paul Makonda Iwasisimue (inspire)Vijana wanapokutana na changamoto kwenye maisha na kujifunza namna ya kushinda.

Juzi hivi nilipata kumsikiliza Mh Paul Makonda akielezea historia ya maisha yake iliyojaa changamoto nyingi. Clip hiyo ikanikumbusha maneno aliyoniambia Paul Makonda mwaka 2009 wakati tunakwenda Dodoma. Alivyoeleza kwenye clip ndivyo alivyonisimulia siku ile tukiwa safarini kwenda Dodoma. Siku ile alipokuwa akinisimulia aliishia kulia kwa uchungu. Pia niliumia sana.

Alipokuwa akinisimulia, mara kwa mara Paul Makonda alisema "lakini sikukata tamaa niliendelea kumtumaini Mungu". Hakukata tamaa na ndiyo sababu ya yeye kufika alipofika.

Kuna picha inaonyeshwa na kudaiwa hapo ndipo alipozaliwa. Sehemu duni. Kuna picha zinaonyeshwa Paul akiwa kwenye mazingira duni, kuna picha zinamwonyesha akilia, lengo ni kumdhalilisha.
Rejeeni historia za watu maarufu duniani leo, wengi walikuwa watu wa kawaida na huenda duni lakini walikabiliana na changamoto bila kukata tamaa na wakashinda. Mmoja ni Baraka Obama.

Obama kwao ni Kenya. Na alipokuwa anagombea mara ya kwanza republicans walitoa picha ya Obama akiwa na bibi yake kijijini kwenye nyumba duni, lengo wamdhalilishe. Obama hakukata tamaa na hatimae akawa rais wa Marekani ambayo yalikuwa makusudi ya Mungu.

Hakuna binaadam amayepanga azaliwe wapi na wazazi wapi. Watu wengi, kwa kukabiliana na changamoto katika maisha hufanikiwa kubadili maisha yao na kufikia mafanikio makubwa, hasa kwa kutokata tamaa na kumtumaini Mungu. Vijana nilidhani mngejifunza hilo kwa Paul Makonda badala ya kukejeli.

Kingine ambacho nimeona nikiandike, mimi ukweli nashangaa kuona wengi wanaomdhihaki Paul Makonda siyo wapagani. Ni watu wenye dini, tena dini maarufu. Inasikitisha sana.

Kuwa na dini na kumjua Mungu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kuwa kiongozi wa dini lakini humjui Mungu wa Kweli. Tabia moja kuu ya Mungu ni upendo. Mungu ni pendo. Pendo huvumilia, hustahimili, nk. Hivyo, tabia hii inatakiwa kudhihirika kwa watumishi wa Mungu.

Yesu Kristo alimfunua au alidhihiridha upendo wa Mungu alipokuwa msalabani akiteseka ili aukomboe ulimwengu. Akiwa msalabani alisamehe, hakulaani. Alipnyesha upendo wa Mungu. Alipotukana na kudhihakiwa hakurudidha mashambulizi bali alibariki. Aliposingiziwa, hakuwatisha waliomsingizia bali aliwaombea. Yesu Kristo alitoa pepo na kuyaelekeza apepo yaende kwa nguruwe, hakuyapeleka kwa binaadamu aliokuja kuwaokoa.

Lakini hali inavyoonekana sasa inasikitisha. Hilo nalo tujifunze.

Vijana wengi wanaangamia kwa kutumia madawa ya kulevya. Bila hatua madhubuti kuchukiliwa, ninahofu inawezekana Tanzania ikatawaliwa tena. Tena kirahisi tu. Hapatakuwa na rasilimali watu wenye kuwajibika na kulilinda Taifa hili.

Paul Makonda kadhubutu, vijana na watanzania kwa ujumla, tuache itikadi ya vyama vya siasa tuunge mkono juhudi za kupiga vita madawa ya kulevya kwani madawa ya kulevya yanalingamiza taifa.
mkuu, mada kuu na habari ya mjini sasa hivi ni [HASHTAG]#bashiteonyeshavyetikuanziapraimari[/HASHTAG]

ngoja kwanza tuhangaike kupata jawabu la hili swali halafu tutarejea kwenye hii mada yako!
 
aisee upuuzi kweli unaongoza na mtu aliepata 0 kisha akatumia vyeti feki paspot ya kufoji kuapa mahamkani ili atumie majina feki.. unatushauri na ndugu zetu waliopata 0 wafoji vyeti waende polisi ili waje wapige wanafunzi madogo bila sababu eee
 
mwandishi naona unachanganya mada au inawezekan hujafuatilia nini wanajamii wanachokitaka sasa...huko kwenye na yake makonda kuhusu kupambana na madawa ya kulevya kila mmojawetu anampongeza 100% the talk of the town kwa sasa ni je akichokifanya katika mchakato wa kufikia hapo alipo kuwa kiongozi wa mkoa je kinakubalika?na je kiachwe kiendelee kuwa hivyo..na je kwenye tekodi iwekwe vipi kuwa kuiba vyeti vya mwenzako ni vyema as long as vimekusaidia kufanya jambo zuri?na je huu motto wa sasa wa serikali kuwasimamisha watu wenye vyeti fake na wamekuwa watendaji wazuri na wenye hekima kuliko huyo Bashite mropokaji nao warudishwe makazini?...naona kama una maanisha eti mtu akivunja kwako akaiba kila kitu na akafanikiwa kutoroka bila kukamatwa pamoja na juhudi za wasamaria mwema kujaribu kumfukuza basi aachwe tu kisha hakukataa tama na kufanikiwa kutoroka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom