Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajanja wa kutafuta connection wameanza kumtumia mwamba wa mitikasi huku wakiamini unganiko lao na yeye ndiyo njia sahihi ya kupata chochote kitu kwa kipindi hiki. Mwamba alizimwa lakini sasa...
0 Reactions
5 Replies
620 Views
Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa...
28 Reactions
178 Replies
9K Views
=== Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Industral Park " ikiwa ni pamoja na...
20 Reactions
185 Replies
16K Views
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA. 28.03.2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1. Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga amemuomba Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Tawala za Mitaa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa kuwatafuta waliochukua Sh222 bilioni za mikopo ya...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Sakata la Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda lililopo Mahakamani limekuwa likiwatatiza wengi hasa baada ya awali kuonekana kwa wengi ni kama anaipotezea Mahakama kabla ya...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka Asisitiza, tena kwa sasa ndio haufai kabisa kufuatia Serikali...
2 Reactions
120 Replies
23K Views
Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili? Je, wananchi...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
CAG: NGORONGORO ILITUMIA TSH. MILIONI 278.42 KUKARABATI NDEGE YENYE MIAKA 47 Kupitia Daftari la Mali za Kudumu za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, CAG alibaini kuwa Mamlaka inamiliki...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii issue imenishtua na kunisikitisha. Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2. Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari wakuu Hizi taarifa ziwafikie wapinzani wote na vyama vipya ambavyo vinaanzishwa kuwa ni rahisi Sana ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Chama kikubwa na chenye wafuasi nchi nzima...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9). Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na...
7 Reactions
121 Replies
9K Views
ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi. Neno itikadi linamaana nyingi na utata...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zitto amekuwa akimshambulia Hayati Magufuli kama mtu binafsi ( Rais) ilhali katiba ya JMT inaeleza wazi Rais hashtakiwi popote , pia zuzu Zito Kabwe anashindwa kuelewa kuwa anapomtukana Magufuli...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Makusanyo ya kodi za Tanzania hayafikii malengo kwa sababu ya vitu vitatu vikubwa 1. Machinga: Hatuwezi kuwa na kundi la watu wasiolipa kodi na wawe na haki kuliko walipa kodi. Huwezi kuruhusu...
5 Reactions
13 Replies
993 Views
Back
Top Bottom