OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,035
- 114,473
Wakuu
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yalifanyika katika mwaka wa fedha 2016/2017
Kwa kuwa CAG hukaguzi hesabu za serikali baada ya mwaka wa fedha kuisha,yaani ukaguzi wa hesabu za 2016/2017 utafanyika baada ya mwaka kuisha
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yamekuwa na kelele na kuonyesha public interest ya kuwapa walipa kodi assurance ya mambo yaliyojiri
Kwa kuwa manunuzi ya ndege yana dalili za ukiukwaji wa sheria za manunuzi na technical issues
Hivyo basi ni wazi CAG atafanya na kulazimika kufanya ukaguzi wa kina July 2017 baada ya mwaka wa serikali kuisha. Tutamtaka CAG awe jasiri na huku kwa mujibu wa katiba kuanika kila kitu mema na mabaya juu ya ndege zilizonunuliwa na awamu ya tano