Tuliandika humu tukabezwa, kukejeliwa na kupuuzwa, ila leo yanatimia kwa watu kueleze aliyoyafanya na yaliyofanywa chini ya utawala wake.
Ukizui watu kusema ukiwa hai, watakusema ukishakufa...
Sikufahamu kwalo!
"...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!"
Mdau.
Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
Watanzania sasa nimeamini kuwa tanzania ni shamba la bibi kila mtu anajipigia kwa urefu wa kamba yake.
Nimejaribu kuisoma report ya cag japo sijaimaliza nimejisikia kichefuchefu kwa ubadhilifu...
Hii sio mara ya kwanza kwa mheshimiwa huyu kujitokeza hadharani na kuzua mambo yenye kuleta taharuki na usumbufu kwa umma.
Uzushi wake hulenga kuchafua na kufarakanisha umma wa Watanzania...
Juhudi za ujenzi wa Reli ya Kati ni juhudi za kimaendeleo na hazina budi kupongezwa na kila mpenda maendeleo. Reli ina faida kubwa kwa nchi na Kiongozi yeyote anayefanya maamuzi muhimu kama haya...
Zitto anamuwakilisha nani katika sakata hili...?mwanaKigoma au watu wachache katika biashara ya ndege??
Zitto ndiye aliyeanzisha utata wa kuhusiana na ndege inayotaka kununuliwa tena akiwa hana...
Habari ndg wanajf.
Napenda kuishauri serikali ilichukulie umuhimu hili jambo ipunguze mishahara ya wabunge hadi kufika milion 5. Pesa ya mafuta na service ibaki palepale ila mafuta na hela ya...
Wanasiasa wawili maarufu, Godbless Lema ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, na Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo wameingia katika vita ya maneno.
Kupitia...
Naona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga.
Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
Imekuwa kawaida Kwa Chama Tawala, kujikita ZAIDI kwenye Siasa za Uchaguzi kuliko kuangalia utatuzi wa chaangamotto na kuondoka umaskini! Sekta ya Nishati ni mojawapo ya Eneo ambalo Vita vya Wana...
Members, Huu uzi ni kwa ajili ya kutoa ushauri, Maoni na Marekebisho kuhusu mfumo wetu wa elimu Tanzania.
Hoja zitakazotolewa hapa zitaunganishwa na kuwafikishia wahusika Bungeni na kwenye...
Rais Samia amefanya safari USA kwaajili ya uzinduzi wa filamu yake ya kuhamasisha watalii kuja Tanzania. Lakini, bila shaka, pamoja na jambo hili atakuwa ameitumia safari hiyo, kufanya mambo...
Waziri wa Kazi Kabaka, Rais kikwete, katibu mkuu wa CCM ndugu Kinana na Mama Salma kikwete Wakiwa wanaimba wimbo wa wafanyakazi wa Solidarity Forever.
Walimu na wafanyakazi wengine wakipita...
"....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu!
"....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya...
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho...
Jiwe hilo la Ruby limetoroshwa na sasa liko mnadani huko Dubai.
Linanadiwa kwa kuwa na thamani ya 240 bilioni za kitanzania.
Kwa Serikali makini na kwa nchi yenye Bunge makini...
Ikumbukwe kuwa siyo wabunge wote 19 wa viti maalumu wa Chadema walikata rufaa, ni 6 tu ndio waliokata rufaa.
Baraza kuu litawasikiliza hao 6 tu na wale wengine wataendelea na ubunge wao kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.