jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Zitto anamuwakilisha nani katika sakata hili...?mwanaKigoma au watu wachache katika biashara ya ndege??
Zitto ndiye aliyeanzisha utata wa kuhusiana na ndege inayotaka kununuliwa tena akiwa hana ushahidi na badala yake anahaha kutafuta ukweli juu ya utata aliuanzisha mwenyewe...probably just to smear the name of the President au shirika letu la ndege.
Zitto haeleweki anahitaji nini hasa katika sakata hili...je ni kuhusu taratibu za manunuzi??
Je ni kuhusu ubovu wa ndege inayotakiwa kununuliwa?
Je ni kuhusu uchakavu wa ndege inayotakiwa kununuliwa ?
Je ni kuhusu bei ya ndege inayotakiwa kununuliwa??
Ukimfuatilia zitto hutaelewa hoja yake ya msingi kuhusu ununuzi wa ndege hizi ni ipi haswa.
KWA NINI ZITTO ANAYAFANYA HAYA??
JIBU LA HAYO LITATOKA KWENYE TWEETS ZA ZITTO KABWE ALIZOZISAHAU.
Wanasema huwezi kufanya uhalifu bila kuacha ushahidi ....!!
Back to the title of the thread.....!!
Here are some facts ...which we should never ignore.....
Zitto Kabwe anaelekea kuwa ni mpenzi kindakindaki wa shirika la ndege la Precision na pengine mmiliki wake.
Zitto alipendelea zaidi serikali iiokoe precision kutoka kwenye poromoko la kufilisika.
Zitto anaamini kuwa serikali ilisabotage precision Air.(nadhani kwa juhudi za serikali kuifufua Air Tanzania ni wazi imani ya zito juu ya hili itakuwa imeongezeka maradufu kulinganisha na ile ya mwaka 2014)
Zitto anaamini serikali inamchukia Shirima mmiliki wa Precision.
Zito hakutaka AirTanzania isimame kamwe !!
HUYU NDIYE ZITTO MZALENDO WA KUONGELEA UNUNUZI WA NDEGE KWA MINAJILI YA KUIFUFUA AIR TANZANIA.
Rejea link hapo chini.