Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tokea Mwenyekiti wa Chadema, shujaa Freeman Mbowe, atoke jela, siku chache zilzopita, alikokuwa amekaa zaidi ya miezi 8 kwa Kesi ya michongo ya ugaidi, amekuwa alisisitiza Sana neno HAKI kuwa...
5 Reactions
13 Replies
775 Views
Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama. Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
5 Reactions
29 Replies
2K Views
UVCCM_ TAIFA APRILI 19, 2022 CHICAGO_ MAREKANI. PICHA NA MATUKIO: Picha na Matukio Mbalimbali ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akiwa na Dkt. H. Fisk Johnson...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Haya ndio matunda ya ziara ya mh.Rais huko USA.. Ni Kazi sio maneno wala propaganda 👇
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Naunga mkono jitihada za kuifungua nchi, ila sikubaliani na approach inayotumika katika kufanya hivyo. Ni kweli tunahitaji wawekezaji , ni kweli tunahitaji ajira lakini namna tunavyowatafuta na...
36 Reactions
197 Replies
12K Views
Taarifa nilizoskia sasa hivi ni kwamba ndege ya ATCL imeleta kizazaa Mwanza baada ya kuteleza na kuhama katika njia yake ya kutua (runway) wakati ikitua..habari njema ni kwamba hakuna...
0 Reactions
137 Replies
25K Views
Hakika huyu Mama licha ya kuwa ni Mjane, hana biashara yoyote wala cheo cha Kumwingizia KIPATO lakini ni mfano halisi wa UZALENDO kama wa Hayati Mume wake BABA wa TAIFA RAIS Mstaafu Mwl. NYERERE...
13 Reactions
41 Replies
4K Views
Vita kali ya maneno ya kumkosoa na kumdhihaki Magufuli inayoendelea sasa huenda ni matokeo ya kitendo cha Magufuli kukataa kabisa yeye na utawala wake kukosolewa akiwa hai. Hichi kinachoendelea...
6 Reactions
8 Replies
826 Views
Disclaimer (Andiko hili ni kutoka clickhabari.com) Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka...
13 Reactions
89 Replies
15K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa...
11 Reactions
50 Replies
4K Views
Chadema Wana ideas zilizopangika na zinazofanikiwa bila kuhitaji nguvu ya ziada wala dola. Kitendo Cha kutumia mitandao iliyounganishwa na screen za TV zilizopo majumbani kumetoa fursa watu...
30 Reactions
62 Replies
5K Views
Ni vema hii Join the Chain ingeendana na ufuturishaji kwa sababu huu ni mwezi mtukufu. Bado hamjachelewa kuna siku 9 mbele Siasa ni pamoja na kuendana na mambo ya nyakati Sabato njema!
0 Reactions
22 Replies
1K Views
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea. CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji. WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Hi ndoto ya mchana kwetu tulio.soma seminari na tuna maono uamini niaono yaliyotumwa na Mungu kwetu. Nimeoteshwa kabisa Tundu LISSu aliwa Bado hajarud mpaka Leo na hataki kurudi. Nimeoteshwa...
0 Reactions
4 Replies
596 Views
Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Sheria ya mamlaka ya serikali za mitaa inayotumika ya mwaka 1983-1984 ilijenga muundo unaoisaidia chama kimoja kuongoza nchi kwa urahisi. Tulipoingia vyama vingi bado hatukukumbuka kwa kina...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
23 April 2022 LIVE : MUBASHARA : Mh. Rais Samia Suluhu Hassan : Maendeleo ya Watu yanayolenga katika maji safi, elimu na fursa kwa wote ni muhimu sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakuna maneno Muhimu na Machache katika ustawi wa maisha ya Binadamu kama Tafadhali, Asante na Samahani. Katika Dhifa niliyoiandaa jana, nilialika watu wengi, Wanasiasa, Taasisi za Kiserikali...
36 Reactions
261 Replies
36K Views
Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu . Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake. Asanteni
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kabisa niweke Wazi mimi sio mfuasi wa mfumo wa vyama vingi sababu 1. Unagawa watu hivyo ni rahisi kuingia katika machafuko 2. Ni rahisi kwa Baadhi ya viongozi wa vyama kuhujumu Nchi kwa...
3 Reactions
8 Replies
992 Views
Back
Top Bottom