Zitto Kabwe apongeza juhudi za Mh.Rais katika ujenzi wa Reli ya kati

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
Juhudi za ujenzi wa Reli ya Kati ni juhudi za kimaendeleo na hazina budi kupongezwa na kila mpenda maendeleo. Reli ina faida kubwa kwa nchi na Kiongozi yeyote anayefanya maamuzi muhimu kama haya hana budi kupongezwa kwa dhati". Zitto Kabwe.

Haya ni maoni ya ZZK.
 
Kwenye hili mnamchekea akiuliza trilioni wea a yu mnamtumia askari badala ya kumuelewesha
 
Mmchekua tweet moja ya Zitto na kuacha ile ilyosema anaunga mkono ujenzi wa reli lakini haungi mkono namna mradi huo unavyotelekezwa.

Ukweli wa Alichosema Zitto ni huu:

https://t.co/3L1hW4LL9G?amp=1
Amekosoa lakini amepongeza kwa maneno ya dhati kabisa...hiyo ndio habari mkuu!
Mbwa kung'ata mtu sio hapari ila Mtu kumng'ata mbwa ni habari.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom