Ruby ya kg 2.8 Inatoroshwa,Halafu Mnaishia Kukamata Gramu 12 Bariadi?

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Jiwe hilo la Ruby limetoroshwa na sasa liko mnadani huko Dubai.
Linanadiwa kwa kuwa na thamani ya 240 bilioni za kitanzania.

Kwa Serikali makini na kwa nchi yenye Bunge makini.......

Tungekwishaona hatua kubwa za kimaamuzi zikifanyika ili kuipata hiyo haki ya watanzania iliyoporwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi.

Badala yake tunapewa majibu mepesi na serikali kupitia naibu waziri Kiruswa bungeni.

Baadae tunaishia kuonyeshwa Drama za taarifa ya habari kuwaonyesha kina mama wale wawili waliooneshwa kukamatwa huko Bariadi wakiwa na dhahabu ya gramu 12.

Tanzania hii ya sasa tunaelekea wapi?

Tukisema tunaambiwa twende tukazikwe Chato.

Haya Bhana!
View attachment 2197279
 
Zelensky huko wapi tunakufa na njaa njoo utusaidie .
 
Utaelewa kwanini CCM imemrudisha Kinana
 
Ruby kama ruby
 
Lakini ilitoroshwa miaka mingapi bwashee? Zaidi ya miaka 10 iliyopita ndiyo ilitoroshwa.
 
Jiwe hilo la Ruby limetoroshwa na sasa liko mnadani huko Dubai.
Linanadiwa kwa kuwa na thamani ya 240 bilioni za kitanzania.

Kwa Serikali makini na kwa nchi yenye Bunge makini.......

Tungekwishaona hatua kubwa za kimaamuzi zikifanyika ili kuipata hiyo haki ya watanzania iliyoporwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi.

Badala yake tunapewa majibu mepesi na serikali kupitia naibu waziri Kiruswa bungeni.

Baadae tunaishia kuonyeshwa Drama za taarifa ya habari kuwaonyesha kina mama wale wawili waliooneshwa kukamatwa huko Bariadi wakiwa na dhahabu ya gramu 12.

Tanzania hii ya sasa tunaelekea wapi?

Tukisema tunaambiwa twende tukazikwe Chato.

Haya Bhana!
View attachment 2197279
CDM wametuchelewesha mnoo, na huo ndio ukweriii!!!😂😂😂
 
Kwanza kumkamata mtu ana gram 12 ni matusi makubwa Sana na matumizi mabaya Sana ya nguvu Kazi na kodi zetu. Grams moja ni shi 127000.
 
Sasa fikiria hao eti tunaonyeshwa kwenye taarifa ya luninga ITV kama vile ni tukio kubwa kabisa.
 
Back
Top Bottom