Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kweli maalimu Seif alikufa kwa covid 19 ilikuwaje dakika chache kabla ya kufariki azungumze na KC Zitto na kumwachia wosia kuhusu Masoud Othman? Mgonjwa wa covid 19 anaweza kuwa na nguvu ya...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa. Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina...
16 Reactions
108 Replies
11K Views
Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
5 Reactions
202 Replies
32K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makala amesema wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa mafuta nchini kwani yako ya kutosha kabisa. Makala amesema serikali ilijiandaa kikamilifu...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho. Ni tweet ya Haki Ngowi.
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona...
29 Reactions
198 Replies
24K Views
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya...
16 Reactions
57 Replies
3K Views
Nilishituka awamu ya tano kumteua mke wa Rais mstaafu kuteuliwa kuwa mbunge viti maalum(ulikuwa ni udhalilishaji wala haikuwa heshima) Nimeshituka mke wa Rais kudai mafao mara wakimaliza mda wao...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500. Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika? Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jumuiya ya Watanzania kwa ujumla inasahau kwamba lilikuwa kosa la jinai kwa mazungumzo binafsi ya simu kati ya kina Makamba, Nape nk kunaswa na kurekodiwa? Je walikuwa wakipelelezwa na vyombo vya...
14 Reactions
91 Replies
11K Views
Naona Nembo mojawapo ya Chama ni picha ya JPM 😀😀😀😀
20 Reactions
192 Replies
14K Views
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata...
23 Reactions
127 Replies
7K Views
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI. KAZI INAENDELEA Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na...
33 Reactions
670 Replies
56K Views
Wajumbe wa mjadala karibuni. Kwa hali ilivyo sasa, kwa upigaji mkubwa unaoendelea sasa, kwa mambo mbalimbali ya ovyo yanayoendelea sasa, kwa jinsi zaidi ya 95% ya Watanzania walivyochoshwa na...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndugu zangu habari za saahizi? Yapata miaka saba sasa tangu nipost kwa mara ya mwisho katika jukwaa hili. Leo nimepata wito wa kuandika jambo walau na mm nitoe ya moyoni kwa kinachoendelea...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom