JESHI LA POLISI CHUKUENI HATUA DHIDI YA ZITTO ZUBERI KABWE KWA KAULI YA DHIHAKA KWA KIONGOZI ALIYEKUWA MKUU WA NCHI DR.JOHN POMBE MAGUFULI

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,908
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
 
we inakuhusu nn au nawe ukazikwe naye?
 
Kina Bulembo kule bungeni walisema Zitto auawe kwa sababu ni msaliti wakapiga meza wabunge wengi, Jeshi la polisi lilimkamata Bulembo na wenzie?

Bwana Kheri James wakati huo UVCCM aliwahi kusema Lissu achomwe sindano ya sumu,Je uliwaambia polisi wamkamate?

Ni bora ukatulia tu,michezo mliyoanzisha ndio inawagharimu na bado.
 
Zitto na Marehemu wote ni wanafiki tupu
 
Ni vzr mkakaa kwa kutulia tu, maan wakat wenu umekwisha na hautorud tena. Acha yaliyopo gizani yaletwe mwangani!!
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
 
Kina Bulembo kule bungeni walisema Zitto auawe kwa sababu ni msaliti wakapiga meza wabunge wengi, Jeshi la polisi lilimkamata Bulembo na wenzie?

Bwana Kheri James wakati huo UVCCM aliwahi kusema Lissu achomwe sindano ya sumu,Je uliwaambia polisi wamkamate?

Ni bora ukatulia tu,michezo mliyoanzisha ndio inawagharimu na bado.
Yaani ni mambo ya hovyo sn
 
hizi ni heka heka na makundi ya siasa za kuelekea uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama…baada ya uchaguzi kutapoa na kutalipuka tena 2025

Jeshi haliwezi kujiingiza kwny Siasa nyepesi nyepesi kama hizi

kwanza kusema wanaompenda sana Magufuli wakazikwe nae ni kejeli kwetu sir tunaompenda JPM sio dhihaka kwa JPM mwenyewe

siasa za kuchafua ma Rais waliopita zimefanywa na ma Rais wote Kasoro Mzee Ally Hassan Mwinyi

hata Samia akikoma kuwa Rais nae anasemwa sana

wanasiasa wanapaswa kuiga Siasa za Familia ya Mzee Ally Hassan Mwinyi

hata Mwanae huwezi kusikia anamdhihaki mtangulizi wake Dr.Shein

angalau Jk alitoka hadharan na kukemea waliokuwa wanamdhihaki Mzee Mkapa akisema 'Mwacheni Mzee apumzike'

JPM yeye alikejeli na kufadhili waliokuwa wanawatukana wastaafu na hata wazee walipojitokeza kuhoji wakavurumishiwa matusi ya nguoni na kufukuzwa na kusimamishwa uanachama

Kwenye uzinduzi wa Bunge baada ya uchaguzi Mkuu wa 2015 sehemu kubwa ya hotuba ya Bw.Magufuli ilikuwa kejeli, kebehi na dhihaka kwa Jakaya tena Jakaya akiwa mmoja wa wahudhuriaji lakini baada ya hotuba Wafuasi wa Jakaya hawakununa?… vumilieni

wafuasi wa Samia nao tutawaambia wavumilie wakati wa kukejeliwa ukifika

Hayati Rais wa pili wa Zambia Fredrick Chiluba aliwahi kusema 'ukiua kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga '
 
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
Kwa wewe kuzikwa na kiongozi wa ndoto yako kuna ubaya gani ?
 
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
Waanze kwanza kuchukua hatua dhidi ya wale Magufuli aliowatumia kufanya mauaji ya waliompinga na kuwateka nyara. Kuna watu wanatamani hata wangepata fursa ya kuichapa viboko maiti kwa jinsi alivyowaumiza, huo ndio ukweli
 
Mama yake alikuwa mtawala wa nchi?
Zitto alitolea mfano wa machifu wa zamani waliokuwa wakizikwa na watu
JPM alikuwa Chifu? "Bange bange bange, umesababisha niwe tahira × 2"

Zito hatakamatwa kamwe! Sababu aliyemtuma kutukana ndiye anaupiga mwingi sasa hivi kiuongozi.

Ila karma kama kawa anasubiri tu muda afanye yake.
 
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
Pamoja na Zitto kuwa mnafiki aliyekubuhu kwenye hili namuunga mkono, kusema eti kauli yake inaleta mgawanyiko ni kichekesho sana kwani hao diehard supporters wa Jiwe ndiyo waliongoza kwa kauli za kuleta mgawanyiko katika umma wa Watanzania enzi za Jiwe. Let them test the bitterness of their own medicine.
 
hizi ni heka heka na makundi ya siasa za kuelekea uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama…baada ya uchaguzi kutapoa na kutalipuka tena 2025

Jeshi haliwezi kujiingiza kwny Siasa nyepesi nyepesi kama hizi

kwanza kusema wanaompenda sana Magufuli wakazikwe nae ni kejeli kwetu sir tunaompenda JPM sio dhihaka kwa JPM mwenyewe

siasa za kuchafua ma Rais waliopita zimefanywa na ma Rais wote Kasoro Mzee Ally Hassan Mwinyi

hata Samia akikoma kuwa Rais nae anasemwa sana

wanasiasa wanapaswa kuiga Siasa za Familia ya Mzee Ally Hassan Mwinyi

hata Mwanae huwezi kusikia anamdhihaki mtangulizi wake Dr.Shein

angalau Jk alitoka hadharan na kukemea waliokuwa wanamdhihaki Mzee Mkapa akisema 'Mwacheni Mzee apumzike'

JPM yeye alikejeli na kufadhili waliokuwa wanawatukana wastaafu na hata wazee walipojitokeza kuhoji wakavurumishiwa matusi ya nguoni na kufukuzwa na kusimamishwa uanachama

Kwenye uzinduzi wa Bunge baada ya uchaguzi Mkuu wa 2015 sehemu kubwa ya hotuba ya Bw.Magufuli ilikuwa kejeli, kebehi na dhihaka kwa Jakaya tena Jakaya akiwa mmoja wa wahudhuriaji lakini baada ya hotuba Wafuasi wa Jakaya hawakununa?… vumilieni

wafuasi wa Samia nao tutawaambia wavumilie wakati wa kukejeliwa ukifika

Hayati Rais wa pili wa Zambia Fredrick Chiluba aliwahi kusema 'ukiua kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga '
Mungu mbabe sana, chukulia nguvu zote hizi ni sababu tu Mtu apewe posho yake ya kuchafua legacy ya JPM

Mwisho wa siku unaenda kuliwa na funza na kukabwa koo kujibu unafki wako huu mbele za Mungu wako, sababu hujui ulikotoka kabla ya kuzaliwa na unakoenda baada ya kufa
 
Jeshi la polisi mnawajibu wa kumkamata na kumhoji kiongozi wa ACT WAZALENDO ZITTO ZUBERI KABWE kwa kauli ya dhihaka kwa aliyekuwa kiongozi wa nchi DR.JOHN POMBE MAGUFULI.
Kauli hizo za kusema anayempenda akazikwe naye pembeni nikauli zinazoleta mgawanyiko ndani ya jamii na hazipaswi kufumbiwa macho kosa hilo lipo wazi nyie mnataka kukamata makosa gani! Taifa hili huwa linabomolewa na watu kama hao na kuleta makundi ambayo makundi hayo yanaweza kuigawa nchi vipandevipande.

Nawatakia jumamosi njema .
Hakumdhihaki Magu bali Makerubi wake😎
 
kwanini bado unafikra za kukamata kamata badala ya kusema tu afikishwe mahakamani bila ya kukamatwa ?

Back
Top Bottom