Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bado uchambuzi wa safari ya Kisiasa ya Dr. Willibrod Slaa unaendelea... Tumepelekwa moja kwa moja kutoka Hoteli ya Serena, JamiiForums imenituma kama mwakilishi wake. Mtangulizi wa shuguli...
55 Reactions
6K Replies
609K Views
Taarifa iliyotolewa na Chadema Mkoa wa Njombe inaeleza kwamba , miongoni mwa Watu 9 ambao ni wanakwaya waliopata ajali na kufariki huko Njombe , baada ya gari waliyokuwemo kugongana na Lori , ni...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni nani ni Mlinzi wa Rasolilimali za Taifa kwa sasa? Ni Bunge? Hapana hawa walishakuwa sehemu ya Serikali na kazi yao ni kusifia na pia wengi wao wameingia madarakani kwa wizi wa kura, hawa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii. Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Hivi ni nani anaewaambia hawa kuwa sio kama sisi? Hivi unatandikiwa mkeka mpya Ili upande mti na unaweka pozi kabisa? Pesa ya kununulia mkeka nani anaitoa? Kama ni serikali inatoka kwa fungu gani?
3 Reactions
3 Replies
528 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilifanya vizuri sana katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais mwaka 2020. Kati ya maeneo hayo ni pamoja na mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
wadau leo nimekuja kivingine kwa maslahi ya nchi yangu. kwa kufunguliwa macho na NAPE NNAUYE naona ni wakati muafaka wa kuyajadili haya kwa kina,DR SLAA ameonekana si mwadilifu kuwa na kadi ya...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s...
0 Reactions
6 Replies
944 Views
Niliwahi kuishi Zanzibari miaka kadhaa iliyopita kwa kuwa nilitoka Bara ilinibidi nijibadilishe jina niitwe ISSA, ilibidi nifuge mzuzu wa ndevu ilimradi nionekane NAMI ni wa huko huko. Dada yangu...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
[emoji625]IRINGA. 24 Aprili, 2022. Katibu Mkuu UVCCM Ndg. KENANI KIHONGOSI, amepewa jina la CHIFU CHOGAVATAMBULE likiwa na Maana ya Kiongozi wa Wateule. Jina hilo amepewa na Chifu wa Wahehe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Emmanuel J. Shilatu Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wanawake wote, heri ya siku ya Mwanamke! Tunaadhimisha siku ya Mwanamke tukiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
6 Reactions
5 Replies
819 Views
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
~ Tanzania imefunguka! Royal Tour imetuheshimisha! ~ ATCL, Wasanii, wakulima, wafanyabiashara ni kicheko! ~ Lango kuu la utalii lafunguka! Wastani wa watalii Mil 15 kwa mwaka ~ Ndege za moja...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza niungane na Watanzania wapenda maendeleo kumpongeza Rais Samia kwa ziara aliyoifanya mataifa ya nje hakika yana tija kwa Taifa. Kwa wale watoto pengine mtakuwa hamkijui kisa hiki,ingawa na...
17 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari wadau wa JF. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa 26/4/1964 ulihusisha tukio nyeti ktk historia la kuchanganya udongo wa pande mbili. Mwl Nyerere na Karume ni watu moja wapo waliohusika...
5 Reactions
26 Replies
7K Views
MHE. RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KESHO JUMAMOSI. #Repost ///@ikulu_mawasiliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Benki ya...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Magufuli alipambana na ufisadi, sasa umeanza kurudi Dkt. Slaa: Pamoja na madhaifu yake Rais Magufuli kama binadamu mwingine lakini katika eneo la kupambana na ufisadi ni sifa kubwa ambayo...
21 Reactions
99 Replies
8K Views
Back
Top Bottom