Kenani Kihongosi apewa Uchifu

Kenani Kihongosi apewa Uchifu

Shabani Ajaha

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
78
Reaction score
60
[emoji625]IRINGA. 24 Aprili, 2022.

Katibu Mkuu UVCCM Ndg. KENANI KIHONGOSI, amepewa jina la CHIFU CHOGAVATAMBULE likiwa na Maana ya Kiongozi wa Wateule. Jina hilo amepewa na Chifu wa Wahehe Iringa Bwana. Adamu II MKWAWA katika Kongamano la Vijana lililofanyika katika Ukumbi wa Kichangani Mkoani Iringa Aprili 24, 2022.

#CCMImara
#KaziIendelee
#UVCCMKazini
#JiandaeKuhesabiwa2022
#ShirikiUchaguziKwaUadilifu

IMG-20220425-WA0156.jpg
IMG-20220425-WA0159.jpg
IMG-20220425-WA0034.jpg
 
Huyu dogo anajisikiaga sana. Kitendo cha kuwachapa viboko watu wazima akiwa DC Arusha kilikuwa cha kusikitisha sana. Ana tabia flani hivi ya kukera.
 
Ningeona la maana kama Machifu wangempa uchifu kwa kugundua kitu ambacho kitaleta mageuzi kwenye jamii, siyo kwa kupiga kelele.

Ni aibu kwa nchi mwaka 2022 kijana kupewa uchifu kwa kupiga kelele.

Na hao machifu wabadiliko, waanze kuweka viwango vya kutoa uchifu.
 
[emoji625]IRINGA. 24 Aprili, 2022.

Katibu Mkuu UVCCM Ndg. KENANI KIHONGOSI, amepewa jina la CHIFU CHOGAVATAMBULE likiwa na Maana ya Kiongozi wa Wateule. Jina hilo amepewa na Chifu wa Wahehe Iringa Bwana. Adamu II MKWAWA katika Kongamano la Vijana lililofanyika katika Ukumbi wa Kichangani Mkoani Iringa Aprili 24, 2022.

#CCMImara
#KaziIendelee
#UVCCMKazini
#JiandaeKuhesabiwa2022
#ShirikiUchaguziKwaUadilifuView attachment 2201030View attachment 2201031View attachment 2201032
Hivi ndio vilikuwa vishetani vya kuutekeleza ushetani wa Mwendakuzimu
 
Huyu dogo anajisikiaga sana. Kitendo cha kuwachapa viboko watu wazima akiwa DC Arusha kilikuwa cha kusikitisha sana. Ana tabia flani hivi ya kukera.

Na ndiyo aliyetoa tamko kwa wandishi wa habari kwamba Zitto Kabwe auawe. Kesho yake akapewa ukuu wa Wilaya ya Arusha na Magufuli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom