Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Arusha na kupokelewa kwa kishindo katika ziara ya...
Wasalaam Mtanzania Mwenzangu!
Naomba uitikie
KILA KITU KITAPANDA BEI!
Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla.
Na nisikatae kwa Juma moja...
Kweli kifo kinaleta manjonzi na huzuni, Ila ukweli ni kwamba tumeumbiwa.
Mbunge ni kiongozi Ila sio wa kitaifa.
Ni matumizi mabaya ya rasimali muda na fedha tubadilike.
Umoja wa kampuni za uchapishaji walioingia mkataba kwa ajili ya kuzalisha bidhaa na vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni mwaka 2020, wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mhe. @SuluhuSamia...
Tenda ya kuzalisha vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni za mwaka 2020 ilikuwa ni kubwa, hivyo ikatulazimu kukopa ili tuweze kutimiza lengo la mahitaji tukitaraji kuwa baada ya mwezi fedha...
Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru.
DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo...
Wazee wa Jimbo la Arusha Mjini Wamedai kuwa kauli ya Mbunge wao Mrisho Gambo kuwa Wamachinga Wanyanyaswa na Mgambo wa Jiji ina lengo la kuchonganisha Wafanyabiashara hao na Serikali kwani zoezi la...
Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe.
Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale...
Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme...
Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amesema uamuzi wa Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi...
Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi
Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa...
Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi...
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Ashatu Kijaji ametembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa ajili ya kujionea maendeleo ya ukaguzi wa gari la kutumia mfumo wa...
Katika vitu ambavyo Katibu Mkuu wa TAMISEMI anakosea kulifanya suala la uhamisho wa wafanyakazi kwa matakwa yake amekuwa hatoi uhamisho majina ya wanaohama kwa wakati.
Mfano sasa hivi kigezo...
Sina tatizo na suala la kuwa na Katiba mpya, lakini tatizo langu ni kuona watu wakidhani Katiba mpya ndio suluhisho la matatizo ya kisiasa nchini. Huko ni kupotoka. Nchi kama Marekani wana katiba...
Aliyekuwa CAG, Ludovick Utoh amesema kuna mawaziri 8 waliachia ngazi katika awamu ya nne kutokana na ripoti za CAG. Amesema alipokuwa CAG walifanikiwa kuonesha fedha za EPA na mapendekezo...
Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea.
Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na...
Wakuu, nipo Dodoma kwenye kongamano la Tathmini na Ufuatiliaji lililoratibiwa na Tanzania Evaluation Association.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la anuani za makazi limefanikiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.