Kero za Muungano huibuliwa na nani? Hii pia ni kero mpya Wazanzibar wametuletea haka kamchezo Bara

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Niliwahi kuishi Zanzibari miaka kadhaa iliyopita kwa kuwa nilitoka Bara ilinibidi nijibadilishe jina niitwe ISSA, ilibidi nifuge mzuzu wa ndevu ilimradi nionekane NAMI ni wa huko huko.

Dada yangu hakuweza kwakweli kwanza alitamani kuvaa nguo zile pendwa za kizenji yaani sijui Baibui hata silielewagi lile vazi saa nyingine Mimi nilikuwa nikilichanganya na kuliita Buibui.

Lazma nikili sister wangu alishindwa kwa sababu kuu moja, umbo lake hata alipojistili Bado lilionekana na kufanya watu wamwite mbara au mtanganyika kama mjuavyo wanawake wa kinyakyusa au kihaya mashahala Mwenyezi Mungu aliwajahalia.

Kwa kuwa leo ni sikukuu ya Muungano Mimi kama Mtanganyika ninahoji ni nani huwa anaibua kero za Muungano?

Nina wasiwasi hizi zinazoitwa Kero ya Muungano ni matakwa ya wanasiasa wetu huwa wanaibua tatizo na kuliondoa wenyewe.

Nahoji hivyo maana sijawai mimi pamoja na umri wangu mkubwa kumsikia maanatanganyika akisema au kutaka jambo Fulani na kusema kuwa hii ni kero

Niliwahi wasikia wazanzibari Fulani walidai kuwa dada zetu wa kitanganyika wanakweda huko kwenda kufanya biashara ya umalaya wao waliita hii ni kero na hakika hata mimi niliwahi waona baadhi ya wadada wa kitanganyika wakifanya biashara hiyo huko zanbari kero hii ni kero kweli kweli.

Na Nina imani serikali ya Kizanzibari inapambana na Ili jambo Nina hakika italiondoa.

Sasa leo ndugu zangu Iko kero ya watu kuingiliwa kinyume na maumbile yaani watoto wetu wa kiume wananajisiwa.

Wadada wetu wa kitanganyika wamefundishwa michezo ya kuingiliwa kinyume na maumbile, Yani sio jambo la kawaida, kwa Sasa kukuta Binti anafanya kazi hotelini Zanzibari halafu ukamtongoza mnapokuwa faragha usishangae kusikia kauli ya bebi na huku.

Yani Ili jambo nimeona kwa Zanzibari ni jangwa, Raisi wa sasahivi ndugu yetu Hali hassani Mwinyi kulikemea Ili janga ikiwemo kulifungulia Mahakama yake peke yake lakini Bado ni janga na linafaa kukemewa sana lakini Bado ni janga na Sasa linakuja sana Tanzania Bara lilitokea zanbari Mimi naomba liingie kwenye kero za Muungano.
 
Tunalinda haki za binadamu na haki za faragha.

Tanganyika imevikwa koti la muungano..

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukienda vatican ishi kama wavatican, hivyo hivyo ukienda macca ishi kama wamacca, ila ukienda marekani usiishi kama wamarekani, za kwako changanya na za mbayuayu…,,,
 
Back
Top Bottom