Njombe : CHADEMA yapoteza Wanachama watano katika ajali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
217,999
Taarifa iliyotolewa na Chadema Mkoa wa Njombe inaeleza kwamba , miongoni mwa Watu 9 ambao ni wanakwaya waliopata ajali na kufariki huko Njombe , baada ya gari waliyokuwemo kugongana na Lori , ni wanachama wake , na kwamba CHADEMA NJOMBE IMEPATA PIGO KUBWA KWA KUONDOKEWA NA MAKAMANDA WAKE KATIKATI YA MAPAMBANO YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI .

Kwa niaba ya wanachadema wote duniani Na kwa vile kupigania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni sawa na Kutenda Kazi ya Mungu , Basi nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai wa watu hawa aliyotupatia kwenye mapambano ya haki na namuomba Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za Marehemu hao Mahali Pema Peponi , Amina .
 
Yaani mnavyoingizaga mizaha kwenye huzuni kama hizi mnaboa sana inamaana wanachadema ndiyo umewaona Bora zaidi ya hao wengine waliofariki? Inamaana hao wengine siyo binadamu? Ushabiki wa aina hiyo unaoneaha nikiasi Gani hata mkipewa nchi mtakuwa wabaguzi hamfai
 
tulia acha utoto. Teambiwa miongoni mwa 9 basi 6 ni wanachama wa chadema. Unakuwa kama hujitambui.. .. Acha uduwanzi.
 
Hatukukusudia kumkera mtu yeyote
 
tulia acha utoto. Teambiwa miongoni mwa 9 basi 6 ni wanachama wa chadema. Unakuwa kama hujitambui.. .. Acha uduwanzi.
Acha kuwatetea wapuuzi hao chadema utatenganishaje watu mbona hao wengine hajawaombea wapumzike kwa amani yaani niubaguzibaguzi tu na ndiyo maana chama chenu nicha kichaga makabila wengine hawatakaa waushike uenyekiti kwaubaguzi wao
 
Yaani mnavyoingizaga mizaha kwenye huzuni kama hizi mnaboa sana inamaana wanachadema ndiyo umewaona Bora zaidi ya hao wengine waliofariki? Inamaana hao wengine siyo binadamu? Ushabiki wa aina hiyo unaoneaha nikiasi Gani hata mkipewa nchi mtakuwa wabaguzi hamfai
Usitake kila kinachoandikwa humu kikufurahishe wewe, kama huna faida na andiko, waachie wanao lifurahia, kwani unashindwaje kuwa na uvumilivu kwa yale yanayowafurahisha majirani zako
 
Taarifa iliyotolewa na Chadema Mkoa wa Njombe inaeleza kwamba , miongoni mwa Watu 9 ambao ni wanakwaya waliopata ajali na kufariki huko Njombe , baada ya gari waliyokuwemo kugongana na Lori , ni wanachama wake , na kwamba CHADEMA NJOMBE IMEPATA PIGO KUBWA KWA KUONDOKEWA NA MAKAMANDA WAKE KATIKATI YA MAPAMBANO YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI .

Kwa niaba ya wanachadema wote duniani Na kwa vile kupigania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni sawa na Kutenda Kazi ya Mungu , Basi nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai wa watu hawa aliyotupatia kwenye mapambano ya haki na namuomba Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za Marehemu hao Mahali Pema Peponi , Amina .
We ni msemaji wao?
Kama syo tuwekee taarifa za chama rasmi
 
Upuuzi mtupu. RIP kwa wote waliopoteza maisha katika hiyo ajali.
 
Back
Top Bottom