Rais Samia kushiriki mkutano wa Benki ya Dunia Aprili 23, 2022

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
MHE. RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KESHO JUMAMOSI.

#Repost
///@ikulu_mawasiliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Benki ya Dunia (World Bank Group) tarehe 23 Aprili, 2022 Saa 4:00 Asubuhi katika Makao Makuu ya benki hiyo nchini Marekani.

255714837373_status_2526c330bfb94b0a82c74db7a70bade1.jpg
 
MHE. RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KESHO JUMAMOSI.

#Repost
///@ikulu_mawasiliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Benki ya Dunia (World Bank Group) tarehe 23 Aprili, 2022 Saa 4:00 Asubuhi katika Makao Makuu ya benki hiyo nchini Marekani.

Alikuwa amepanga au US pamenoga?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Sulubu Hassan anatarajiwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia ( World Bank Group) tarehe 23April 2022 Saa 4:00 asubuhi katika Makao Makuu ya Benki hiyo Nchini Marekani

#AlipoMamaVijanaTupo
#JiandaeKuhesabiwa
#Kaziiendelee
Screenshot_20220422-172156.jpg
 
Naona hii mtakuwa mnamwambia KiBAJAJI
Lusinde mbunge wa sukuma gang mtera Dodoma anaewatafuta huku bungeni .
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Sulubu Hassan anatarajiwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia ( World Bank Group) tarehe 23April 2022 Saa 4:00 asubuhi katika Makao Makuu ya Benki hiyo Nchini Marekani

#AlipoMamaVijanaTupo
#JiandaeKuhesabiwa
#KaziiendeleeView attachment 2196602
Hii ni iashara kwamba hatuna haja ya kuwa na rais ktk nchi hii. Yaani unaamua kupiga kambi nchi ya wengine! Rais wa nchi! Kwa ksingizio cha kupewa misaada? Idiot!
 
Back
Top Bottom