Baada ya kupitia taarifa ya ukaguzi ya CAG kwenye sekta ya utalii na biashara , yafuatayo yameweza kubainishwa;
1. Shirika la ndege la Taifa (ATCL) halija unganisha akaunti zake na mfumo wa...
Ujumbe wenyewe huo hapo
Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa kia saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka...
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.
Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi...
Siku moja baada ya mwanasiasa Willbrod Peter Slaa kukosoa mchakato wa jamii kuichambua ripoti ya CAG kwa madai kuwa sheria hairuhusu kufanya hivyo mpaka Kamati ya Bunge iipitie, ameomba radhi kwa...
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.
Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;
Mchukia...
Kauli aliyotoa Rais Kikwete akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Tarime, kuwa watu wanaoambukizwa virusi vya ukimwi inatokana na kiherehere chao, imezua utata.
Umoja wa mashirika...
Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.
Maneno ya Zitto:
"Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na...
Ndio maana hawatochunguzwa, hawatoshtakiwa, na wakipatikana na hatua hawato filisiwa Mali zao na za jamaa zao, hawatofungwa kwa uhujumu uchumi, hawatofanywa lolote lile kwa sababu Magufuli...
Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani...
Dkt. Slaa ni Padre mstaafu wa Kanisa Katoliki
Dkt. Slaa ni Katibu mkuu mstaafu wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki
Dkt. Slaa ni Diwani mstaafu wa CCM
Dkt. Slaa ni mbunge mstaafu wa Chadema
Dkt...
Habari?
Ashukuuriwe Mungu nimepita kwenye sekta mbalimbali muhimu na nyeti katika nchi hii, hapa simaanishi vyombo vya ulinzi.
Maana akili za vijana wengi zilizoghoshiwa na bange, pombe na...
Dr Slaa ametumwa kuichafua CHADEMA na zipo tetesi kwamba amelipwa kwa kazi hii Maalum (hili tutalifafanua baadaye).
Nawaomba viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA , ambao kuna taarifa kwamba mnapanga...
Einstein kwenye kitabu chake akiwajibu hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice...
Wanajamvi,
Nimeona niseme hili bila kuwa “bias”. Kwa maslahi ya Taifa letu na wananchi wake kwa ujumla.
Kwasababu sitaki kuwa “negative” kuhusiana na jitihada za serikali hii ya “awamu ya sita”...
Zitto katuambia kumbe zile korosho mlizimwaga baharini, watu wana siri sana.
Mama Kikwete anataka eti na yeye alipwe kiinua mgongo cha mmewe.
Kingine mama wakati wewe uko royo tua msajili...
Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo...
Nipo hapa Arusha, kwa kifupi Viongozi wa Kitaifa wote wako hapa kuja kushuhudia Uzinduzi wa Filamu, Kuna V8 Zisizo kuwa na Idadi kwa sasa zimejaaa mji.
Hawa Viongozi wengine wako kwenye sekita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.