Mch.Peter Msigwa amelegeza masharti Chadema imenyanyuka na Rose Mayemba kudhibiti upepo usitetereshe chombo ukanda wa Iringa

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Peter Msigwa amekuwa kimya sana Toka mwenyekiti atoke Gerezani,amekuwa somehow vuguvugu na wakati Mwingine anaonekana amemeelewa zaidi mama na anatamani afanye naye kazi. Hii Chadema wameiona na kulifanyia kazi, wameona ishara kwamba wasimtegemee Sana Bali waendeleze mapambano ya Katiba mpya.

Kutokana na uzoefu walionao wanatambua umuhimu wa kusonga Mbele bila kujali Nani ameunga juhudi mkono. Nimeona graph ya Rose mahemba ikipaa kuelekea juu kusubiri mawimbi Yawe makali basi yadhibitiwe. Napongeza strategy hizi na Hii itawafundisha wanasiasa kwamba upo umuhimu wakuchagua kulipwa au kulipa. Ukiamua kulipwa kwa Kodi zetu well and good ila usilipwe ukasaliti dhamira Yako,ukawasaliti Wananchi na kuwasaliti waliopigana Kwa ajili Yako.

Matamshi ya kisiasa yanatafsiriwa kisiasa,ukiona umeshindwa kabisa kukaa kimya changia Kwa maandishi au mpigie simu unayeona amefanya vyema.
Kila la heri Peter na Kila la kheri Rose,Kila la Sosopi.Kupanga ni kuchagua
 
Nimeona graph ya Rose mahemba ikipaa kuelekea juu kusubiri mawimbi Yawe makali basi yadhibitiwe. Napongeza strategy hizi na Hii itawafundisha wanasiasa kwamba upo umuhimu wakuchagua kulipwa au kulipa. Ukiamua kulipwa kwa Kodi zetu well and good ila usilipwe ukasaliti dhamira Yako,ukawasaliti Wananchi na kuwasaliti waliopigana Kwa ajili Yako.

Utabiri wako ni sawa na yule bwana wa Canada
 
Yule dada Rose Mayemba bado ana immaturity sana.
Siasa zake ni za matusi na kejeli kama akina Martin na Mdude

Peter Msigwa yupo vizuri kwa hoja na siasa za kiutu uzima
 
Mleta mada hivi haujishtukii kuwa umeandika upuuzi ndio maana uzi wako umepuuzwa. Sio kila anaelazimisha uchawa anaweza kuwa chawa. Wenzio uchawa ni kazi na wanalipwa maalumu na mwenyekiti wa chama, ndio maana unawezakuta chawa mmoja kaandika thread ya kipuuzi lkn wenzake wakashuka nayo mpaka ikapata wachangiaji zaidi ya 50 huko na kuendelea. Haya wewe mwenzang na mimi unalazimisha uchawa huku mwenyekiti na genge lake la chawa hakuna anaekujua. Matokeo yake ndo haya unaaibika kwa kuandika uzi na kujijibu mwenyew kupitia IDs zako zingine ulizofungua. Inashangaza na kusikitisha kuona vijana wengi wameamua kufanya kazi za uchawa aidha kufuata mkumbo, kwa kujua au kutokosa kujua faida au hasara ya uchawa huo. Bora huu muda wako uliopoteza kuwavunjia heshima uliowaandika hapa ungeutumika kutafutia hela ya kula kesho ili upande nguvu ya kuitafutia tena riziki kesho yake. Dah mleta mada umejidhalilisha na kweli umedhalilika. Waombe moods waufute huu uzi.
 
Sasa chumvi ikiharibika itatiwa nini ili ikolee tena?...
By Yesu mwenyewe
 
Uliyakiwa umjibu kwa hoja.
Wewe umemshambulia mwanzo mwisho bila kumpinga kwa hoja.
 
tujifunze pia kuiishi demokrasia tunayoihubiri kila siku, kutofautiana kiwamawazo sio usaliti.

mwenye mtazamo tofauti sio msaliti bali ndio demokrasia hiyo tujaribu kuiishi..

Wanapohama chama wanakuwa wasaliti, wanapohamia chamani wanakuwa makamanda hata kama walipotoka walikuwa wezi na wachawi...
Wanapohama chama wanakuwa wamenunuliwa, wanapohamia chamani mnakuwa hamjawanunua.
 
Back
Top Bottom