CHADEMA hujiona ni kikundi special zaid ya wengine? Mwana ccm atasema ndugu watanzania, mwanachadema atasema makamanda

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Habari za sikukuu

Si Mara moja , au mbili ni zaid ya Mara 10 nawasikiliza wanachama wa ccm katika ngazi mbali mbali, na wanachama wanchadema katika ngazi mbali mbali,

Licha ya tofauti ya Ukomavu wa kisisasa, nidhamu,demokrasia, Mipango na uelewa walio nao ccm ukilinganisha na CHADEMA, lakin nimegundua Tofauti nyingine kubwa

Wanachama wa CHADEMA hujiona wapweke waliotelekezwa na Taifa kwa muda needy sana, na wanakaa kulalamika sana, hata wafanyiwe na kutimiziwa wanachotaka,

Pia wanachadema masuala yanayowagusa zaid ni ya chama chao zaid ya masuala ya kitaifa, mifano ipo kibao sana, ndo maana akipigwa au kuumizwa mtanzania yeyote wanachukulia simple, lakin wakiumizwa wao utasikia kauli mbali mbali za kulaani kama kaumizwa malaika ,japo serikali haipaswi kuwaumiza

Hotuba zao , asilimia 70 ya hotuba za lowasa, mbowe na Dr slaa kipindi yuko chadema utasikia ndugu wana CHADEMA, ndugu makamanda yaan ni kama ana wa address wanachama tu wakati suala la analozungumzia ni la kitaifa,

Kwa upande wa Ccm ,msikilize Mangula, Kinana, Magufuli na wengine wanaongea kwa ku address Taifa hata kama jambo ni la kichama, hii ni tofauti kubwa ambayo tunapaswa kuirekebisha,

MUHIMU:CHADEMA Itaimarika kwa kuuchukua ushauri wa watu na taasisi mbali mbali, yakubalini mawazo yote, haijalishi mna mpenda mnamchukia,

Jipimeni punguza matusi ndo maana hata hapa chini watanishambulia kwa kusema kwamba wao ni kama special zaid ya watanzania wengine,

Brittany
 
Sasa ina mana hujui huwa viongozi wa sisiem wanaamaanisha nini?
Wanaongea na watanganyika ila wao si watanzania ndiyo mana wengi wao hela zao na watoto wao wapo nje ya africa mashariki.
 
Menyekiti wako anahubiri utengano kwa kiwakataza kushiriliana na upinzani....vitendo ni zaidi ya maneno mbwa ww
 
Habari za sikukuu

Si Mara moja , au mbili ni zaid ya Mara 10 nawasikiliza wanachama wa ccm katika ngazi mbali mbali, na wanachama wanchadema katika ngazi mbali mbali,

Licha ya tofauti ya Ukomavu wa kisisasa, nidhamu,demokrasia, Mipango na uelewa walio nao ccm ukilinganisha na CHADEMA, lakin nimegundua Tofauti nyingine kubwa

Wanachama wa CHADEMA hujiona wapweke waliotelekezwa na Taifa kwa muda needy sana, na wanakaa kulalamika sana, hata wafanyiwe na kutimiziwa wanachotaka,

Pia wanachadema masuala yanayowagusa zaid ni ya chama chao zaid ya masuala ya kitaifa, mifano ipo kibao sana, ndo maana akipigwa au kuumizwa mtanzania yeyote wanachukulia simple, lakin wakiumizwa wao utasikia kauli mbali mbali za kulaani kama kaumizwa malaika ,japo serikali haipaswi kuwaumiza

Hotuba zao , asilimia 70 ya hotuba za lowasa, mbowe na Dr slaa kipindi yuko chadema utasikia ndugu wana CHADEMA, ndugu makamanda yaan ni kama ana wa address wanachama tu wakati suala la analozungumzia ni la kitaifa,

Kwa upande wa Ccm ,msikilize Mangula, Kinana, Magufuli na wengine wanaongea kwa ku address Taifa hata kama jambo ni la kichama, hii ni tofauti kubwa ambayo tunapaswa kuirekebisha,

MUHIMU:CHADEMA Itaimarika kwa kuuchukua ushauri wa watu na taasisi mbali mbali, yakubalini mawazo yote, haijalishi mna mpenda mnamchukia,

Jipimeni punguza matusi ndo maana hata hapa chini watanishambulia kwa kusema kwamba wao ni kama special zaid ya watanzania wengine,

Brittany
Tuache kidogo saizi tuko kwenye kitubio,ngoja huyu atubu kwanza hayo mengine yatakaa sawa yenyewe.
 
Kingine ulichokisahau ni hiki , wanachadema ni wale wajanja , wenye uelewa mpana na wenye kujitambua , wengi wao si wachumia tumbo na wana HELA ZA KUTOSHA , nadhani sasa umenielewa .
 
Habari za sikukuu

Si Mara moja , au mbili ni zaid ya Mara 10 nawasikiliza wanachama wa ccm katika ngazi mbali mbali, na wanachama wanchadema katika ngazi mbali mbali,

Licha ya tofauti ya Ukomavu wa kisisasa, nidhamu,demokrasia, Mipango na uelewa walio nao ccm ukilinganisha na CHADEMA, lakin nimegundua Tofauti nyingine kubwa

Wanachama wa CHADEMA hujiona wapweke waliotelekezwa na Taifa kwa muda needy sana, na wanakaa kulalamika sana, hata wafanyiwe na kutimiziwa wanachotaka,

Pia wanachadema masuala yanayowagusa zaid ni ya chama chao zaid ya masuala ya kitaifa, mifano ipo kibao sana, ndo maana akipigwa au kuumizwa mtanzania yeyote wanachukulia simple, lakin wakiumizwa wao utasikia kauli mbali mbali za kulaani kama kaumizwa malaika ,japo serikali haipaswi kuwaumiza

Hotuba zao , asilimia 70 ya hotuba za lowasa, mbowe na Dr slaa kipindi yuko chadema utasikia ndugu wana CHADEMA, ndugu makamanda yaan ni kama ana wa address wanachama tu wakati suala la analozungumzia ni la kitaifa,

Kwa upande wa Ccm ,msikilize Mangula, Kinana, Magufuli na wengine wanaongea kwa ku address Taifa hata kama jambo ni la kichama, hii ni tofauti kubwa ambayo tunapaswa kuirekebisha,

MUHIMU:CHADEMA Itaimarika kwa kuuchukua ushauri wa watu na taasisi mbali mbali, yakubalini mawazo yote, haijalishi mna mpenda mnamchukia,

Jipimeni punguza matusi ndo maana hata hapa chini watanishambulia kwa kusema kwamba wao ni kama special zaid ya watanzania wengine,

Brittany
chadema wana akili nyigi sana wako vizuri, ndo maana hata raisi wako Yuko radhi avunje ratiba ya shughuli ya Kitaifa kwa ajili ya kumpokea mwanachadema mmoja aliyeasi

ndo maana selikari imetenga sh bill 18 kuwanunua wanachadema
 
Back
Top Bottom