#COVID19 Kwanini Rais Samia hajaenda karantini wakati mtu aliyekuwa nae ana COVID-19!

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga.

Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5 zilizopita, hivyo kulikuwa na uwezekano wa Korona kusambaa.

Kutokana na maelezo mafupi na ya kitaalamu hapo juu, nahisi ilipaswa Rais alipofika TANZANIA aende moja Kwa moja Carenteen Ili akajitenge kwa wiki mbili afanye vipimo vya COVID akiwa sawa aendelee na shughuli za kutangaza Movie yake na Peter ya Royal Tour.

Shukrani kwa wote
 
28 April 2022

IMF's Georgieva tests positive for COVID-19, has mild symptoms​

Reuters
WASHINGTON — International Monetary Fund Managing Director Kristalina Georgieva has tested positive for COVID-19, the IMF said on Thursday, following marathon meetings last week with global finance leaders in Washington.

1651231365264.png

But Georgieva Georgieva did have close contact with numerous finance ministers and central bank governors, including Canadian Finance Minister Chrystia Freeland, European Central Bank Governor Christine Lagarde and Indonesian Finance Minister Sri Mulyani Indrawati.

1651232070207.png

Georgieva tweeted about meetings on Saturday with Tanzanian President Samia Suluhu Hassan and Bank of Zambia Governor Denny Kalyalya.

Source : IMF's Georgieva tests positive for COVID-19, has mild symptoms
 
Inawezekana ametest na kuwa negative, Sio lazima yaandikwe hapa majibu yake.
Sio kila anaekutana na mtu wa covid19 anakaa karantini kama yuko negative...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kwa sababu amechanja, mkiambiwa mchanje mnaleta ubishi, tatizo wanadamu wa siku hizi wabishi sana. Haya nenda kachanje
 
28 April 2022

RAIS SAMIA HASSAN AKIWASILI UWANJA WA NDEGE (KIA) AKITOKEA MAREKANI / UZINDUZI WA ROYAL TOUR...

Vice President Kamala Harris tests positive for Covid​

By Jasmine Wright, Maegan Vazquez, Betsy Klein, Kevin Liptak and Ted Barrett, CNN
Updated 9:07 PM EDT, Tue April 26, 2022
220316151345-01-kamala-harris-covid-file-medium-plus-169.jpg

(CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California.
"Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to isolate and follow CDC guidelines. I'm grateful to be both vaccinated and boosted," Harris tweeted Tuesday afternoon
 
Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga.

Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5 zilizopita, hivyo kulikuwa na uwezekano wa Korona kusambaa.

Kutokana na maelezo mafupi na ya kitaalamu hapo juu, nahisi ilipaswa Rais alipofika TANZANIA aende moja Kwa moja Carenteen Ili akajitenge kwa wiki mbili afanye vipimo vya COVID akiwa sawa aendelee na shughuli za kutangaza Movie yake na Peter ya Royal Tour.

Shukrani kwa wote
Huku ataachwa hivihivi
 
Yaani aingie karantini hapa bongo, haupo serious aisee........covid ipo nje nje na hakuna hizo jitihada za kuitokomeza maana huo uwezo haupo, ile trilioni moja tu mmeipiga eti mnajenga madarasa....
 
Covid ni mradi ulitaka anzishwa kama HIV sema now Africa wengi wana kielimu cha kuiba iba huko mtandaoni kwahio imeshindikana kufanikiwa kwa 100% Sasa tunataka itisha dunia kwa vita ya urusi na Ukraine nayo naona inabuka kwa mbali sasa tutakuja na propaganda za UFO
 
Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga.

Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5 zilizopita, hivyo kulikuwa na uwezekano wa Korona kusambaa.

Kutokana na maelezo mafupi na ya kitaalamu hapo juu, nahisi ilipaswa Rais alipofika TANZANIA aende moja Kwa moja Carenteen Ili akajitenge kwa wiki mbili afanye vipimo vya COVID akiwa sawa aendelee na shughuli za kutangaza Movie yake na Peter ya Royal Tour.

Shukrani kwa wote
Hawezi kwenda karantini kwa sababu Tanzania hakuna corona. Tanzania tuliifanyia send off corona mnamo 2020! Yeyote anayeamini hivyo hawezi kuambukizwa. Mama anaamini hivyo pia. Tulimtanguliza Mungu kwenye vita na corona. Watanzania tuko salama!! Ndiyo maana hatuhitaji social distancing wala chanjo na maisha yanaendelea!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa sababu amechanja, mkiambiwa mchanje mnaleta ubishi, tatizo wanadamu wa siku hizi wabishi sana. Haya nenda kachanje
Hajachanja, Nchi yetu IPO vizuri kiinteligensia, hawawezi kuruhusu kiongozi mkuu afanyiwe majaribio ya chanjo.
 
Back
Top Bottom