Jummane Muliro hawajawahi kupambana na uharifu kwa akaudhibiti zaidi ya kutumia nguvu za kipolisi zisizo na tija. Alipokuwa Mwanza uhalifu alichemka

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro huwa hana mikakati ya kudhibiti uharifu kwa kutumia jamii zaidi ya nguvu za kipolisi ambazo hazina matunda dunia ya leo.

Askari kama huyu astaafiswe na kuwekwa kando jeshi la polisi la leo linatakiwa na Rpc anayejitambua kama Wankyo Nyigesa na kutumia jamii kukabili uharifu.

Muliro acha kutumia nguvu dunia hii ya leo.
 
Muliro ni chuma cha reli,Mwanza alidhibiti uhalifu vya kutosha,Dar jiji limekuwa na usalama wa uhakika matukio watu wameyasahu kabisa kazi iendelee.
 
Muliro ni chuma cha reli,Mwanza alidhibiti uhalifu vya kutosha,Dar jiji limekuwa na usalama wa uhakika matukio watu wameyasahu kabisa kazi iendelee.
Sema ukweli, mbona maeneo mengi sasa kuna panya road haps Dar!
 
Mleta mada utakuwa mmoja wa ndugu wa panya road, au pengine na wewe ni mmoja wa panya road hao. Umekuja humu kujaribu kumvunja nguvu afande wetu kutokana na hatua anazochukua. Ninachokushauri kama una ndugu panya road mwambie aache na kutafuta kibarua cha kufanya, kama ni ww pia nakushauri uachane na hiyo kazi ya kikatili na badala yake ujitafutie hata kakibarua ka kuuza magazeti sehem mbali mbali ili ujipatie kipato cha halali. Maana kwa hali ilivyo Muliro ashasema atawasaka mpaka uvunguni ili awaangamizeni wote wanaohatarisha usalama wa raia.
 
Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro huwa hana mikakati ya kudhibiti uharifu kwa kutumia jamii zaidi ya nguvu za kipolisi ambazo hazina matunda dunia ya leo.

Askari kama huyu astaafiswe na kuwekwa kando jeshi la polisi la leo linatakiwa na Rpc anayejitambua kama Wankyo Nyigesa na kutumia jamii kukabili uharifu.

Muliro acha kutumia nguvu dunia hii ya leo.
Mimi binafsi Wankyo namkubali sana
 
Ila mulilo mimi namuona anauwezo kwa kiasi fulani.

Maana nimeona mala2 anahojiwa,hana papala,hana hasila,anajibu hata maswali ya maudhi bila ya kupaniki.

Nahisi uwezo anao pamoja kizazi hiki cha F1 kina matatizo sana.
 
Back
Top Bottom