Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,192
Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.

Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo.

Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini.

Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
 
Acheni aende tuu ni moja ya kazi zake, anaweza kutuokotea wawekezaji maana wenyewe tumeshindwa hata mafuta ya kula hatuwezi kuzalisha, Canada na US watu wana pesa ndefu sana na technology ya hali ya juu, nina uhakika wakulima 10 tuu wa Iowa wakiingia kusini wanaweza kuzalisha mahindi na maharage ya kulisha nchi nzima na mengine tukasafirisha nje, nina rafiki yangu California wana shamba wanazalisha mchele tani laki moja kwa mwaka, kwa US mkulima kuwa na shamba la acre 10,000 ni jambo dogo sana
 
Ni sahihi. Labda waje kulima oil seeds ambayo ina market gap. Baadhi wanakuja kufuga ng'ombe.
 
Acheni aende tuu ni moja ya kazi zake, anaweza kutuokotea wawekezaji maana wenyewe tumeshindwa hata mafuta ya kula hatuwezi kuzalisha, Canada na US watu wana pesa ndefu sana na technology ya hali ya juu, nina uhakika wakulima 10 tuu wa Iowa wakiingia kusini wanaweza kuzalisha mahindi na maharage ya kulisha nchi nzima na mengine tukasafirisha nje, nina rafiki yangu California wana shamba wanazalisha mchele tani laki moja kwa mwaka, kwa US mkulima kuwa na shamba la acre 10,000 ni jambo dogo sana

Yaani Mkulima atoke MidWest USA Iowa aje kuishi na kulima kwenye tropical savanah heat la Afrika ? Avuke South Amerika yooote aje Tanzania kwenye ardhi ngumu ambayo hata mashine inaweza kata jembe? Unaota nafikiri!
 
Yaani Mkulima atoke Iowa aje kuishi kulima kwenye savanah tropic heat la Afrika ? avuke South Amerika yooote aje Tanzania kwenye ardhi ngumu ambayo hata mashine inaweza kata jembe? Unaota nafikiri!
FYI Tanzania kuna ardhi nzuri sana, hao watu wana machinery na technology za hali ya juu, na ni biashara sio charity, kumbuka wakulima wa Zimbabwe walikuwa wanalisha Africa nzima na ndio waliifanya Zimbabwe very rich kabla ya yule kuua uchumi wa Zimbabwe
 
FYI Tanzania kuna ardhi nzuri sana, hao watu wana machinery na technology za hali ya juu, na ni biashara sio charity, kumbuka wakulima wa Zimbabwe walikuwa wanalisha Africa nzima na ndio waliifanya Zimbabwe very rich kabla ya yule mwehu kuua uchumi wa Zimbabwe

Kuna ardhi nzuri kwa kipimo chako, lkn huwezi fananisha na Midwest US au South Amerika, Tanzania maji yenyewe hakuna, ukame kila uchwao, ulishawahi kusikia ukame Mid west USA? Isitoshe kama ardhi ingekuwa bora hivyo wangeshakuja, Afrika Kusini tu walitaka kuwekeza kilimo hapa wamechemsha wamerudie kwao, sasa hivi shairi ya kutengeneza bia tuna import!
 
Back
Top Bottom