Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.

  • Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
  • Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar.
  • Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito....
  • Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
  • Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha....
  • Majuzi Rais alikuwa anagawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
  • Majuzi alikuwa Dodoma aliapisha wateule......
  • Majuzi Rais Samia alikuwa anazindua daraja la Tanzanite....Dar.
  • Majuzi ile alikuwa ikulu akipokea ripoti ya task force...
  • Majuzi tena alikuwa Dodoma akifungua Mkutano wa Maridhiano....
  • Ni juzi tu alikuwa Mlandizi akizindua Mradi maji....
  • Juzi juzi tu rais alikuwa Dubai...

Imekuwa kila siku Rais Azindua.....Rais Atembelea mradi.... Duh!!!!!!!!

Afya ya Rais ni Muhimu.
 
Mbona tunamuona kwenye uzinduzi anakuwa kapumzika tu....anaandaliwa hotuba ya kurasa 8 anafanya summary ili asome point muhimu tu kurasa 3 ila nazo zinamchosha anaishia kusoma page moja tu! Hataki shida mama wa watu....uwiiii!, ukishindwa kuongoza Tanzania hukopata nchi nyingine ya kuongoza kwenye sayari hii ya Dunia!
 
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.

Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....

Duh!!!!!!!!
nani ataupiga mwingi?
 
Rikizo ni kitu gani?
 
Wenzako hiyo wanaita kumbrand maana wanasema mtaani sio maarufu, hivyo kila siku akiwa live inampa coverage na kumuongezea umaarufu
Ni kweli kule ground anakibarua kigumu sana kuwabadili Raia.

Na kazi inakua ngumu zaidi kutokana na uwepo wa watu flani flani kwenye serikali yake.
 
Amejaa roho ya ubinafsi kama mtangulizi wake Magu. All by herself! Mwacheni si wanapenda onekana kideoni
 
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.

Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....

Duh!!!!!!!!
Ni kweli kabisa ! Afya ya mkuu wa nchi ni muhimu iangaliwe kwa umakini mkubwa !! Na ushauri wa wataalam wa afya uzingatiwe !!
 
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.

Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....

Duh!!!!!!!!
Mkuu, yeye Yuko Kazini kwake.
Tatizo lako huna Cha kufanya zaidi kukaa kila wakati kufuatilia watu wanachofanya ili ukosoe.

Nawahurumia sana majirani zako.
 
Licha ya madhaifu Magufuli.. Ila nafikiri Mama Samia hajiwezi, hajui anasimamia nini.. Na wasaidizi wake wanamfanya awe busy ili wapige zaidi. Hapa tumepigwa.. Rais anawaza uchaguzi tu.
Mbona dikteta yeye alikuwa anawaza uchaguzi tu kwenye hotuba zake zote, alidiriki kuwaambia kina Lukuvi na kabudi, wasahau kuja kugombea urais maana wazee Sana, mlipigwa kwa yule dikteta mbwatukaji, Samia Ni Rais Bora Sana mchapakazi, na kamwe hawezi kusikiliza kikundi Cha nyinyi wasukuma wachache wenye uchu wa madaraka
 
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.

Leo anazindua Mdaharo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana Azindua Sensa......Dar.
Juzi Azindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi ahudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi yuko Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais Agawa pikipiki 7000 za Mpango kazi kilimo....
Majuzi aapisha wateule...Dodoma.....
Majuzi Rais Samia azindua daraja la Tanzanite....Dar.
Apokea ripoti ya task force Dar...
Azindua Mkutano wa Maridhiano.....Dodoma.
Azindua Mradi maji Mlandizi....
Rais aenda Dubai...
Azindua Chanjo
Azindua.....
Atembelea mradi....

Duh!!!!!!!!
Tafuta kazi ufanye,
Samia hawezi kupumzika mpaka hakikishe Tanzania imepata maendeleo bwana Kalimanii
 
Back
Top Bottom