Tangu aingie madarakani sijaona aje na mradi wowote wenye mashiko.
Hii ni tofauti kabisa na mtangulizi wake, John Magufuli, aliyeijenga nchi kwa miundo mbinu ya hadhi ya juu pamoja na...
1. Watu wa Tanganyika wenye makazi ya kudumu Zanzibar na Wazanzibar wenye makazi ya kudumu Tanganyika, wapewe uhiari, haki na uraia wa kuendelea kuishi Zanzibar au Tanganyika mtawalia.
2. Endapo...
Kweli Dr.Slaa alikuwa kiboko.
Lakini sidhani kama angeweza kufanya hivyo kwa Ma-OCD wa IGP Sirro.
Dkt. Slaa anadai Polisi waliofika kwenye mikutano yake aliwahoji, " kifungu gani kimekuruhusu...
Ni nini kinafanya watanzania wafikirie kwamba tunastahili haki miliki Royal tour film?
Je ni kutoa mshiriki (mama Samia)?
Je ni kutoa location (mbuga zetu)?
Kwanini hatujiulizi;
Ni nani mwenye...
Mwanaharakati Che Guevara alikua na salamu yake akisema" peoplesssssss........"
Baada ya kuwasalimu hapo ki-che guevara basi leo nawasanua na iwe kama elimu kwenu kuwa wabunge wale waliokua...
Serikali ya wanyonge iliwaacha wanyonge na unyonge wao, serikali ya Kazi iendelee ambayo Sasa inatambulika kama ya walamba asali wanyonge Hali Tete.
Niwaambieni kitu, hakuna kiumbe kinachoteseka...
Kwa wale mlioangalia interview ya Maza na Tido Mhando nadhani mliona msafara wa ma-V8.
Kama gharama za mafuta zimepanda, je viongozi hawapaswi kujifunga mikanda kwa kupunguza misafara yenye...
Hakika inashangaza sana NCHI ya UCHUMI wa KATI inahangaika kutatua CHANGAMOTO za kupanda kwa Bei ya Mafuta na Bidhaa za Vyakula na VIWANDANI.
Changamoto kubwa ni MAWAZIRI wa kumsaidia Mh. RAIS...
Wanabodi,
Tuna shuhudia mara kwa mara jinsi ambavyo gharama za maisha zinazidi kupanda. Katika kipindi hiki ambacho wengi wana sikilizia maafa yanayo sababishwa na ongezeko la bei ya mafuta...
SABABU ZA GHARAMA ZA MAFUTA KUONGEZEKA
1. Janga la UVIKO19 lilipelekea
kupungua kwa uzalishaji.
kuongezeka kwa gharama za usafirishaji.
kuongezeka kwa gharama za mafuta
2. Vita ya Urusi na...
Ukifutalia maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu huko Mwanza Kuhusu uundaji wa meli pamoja na ubainishaji wa mitaa utabaini haya Siyo mambo yakumsubiri Mhe. Waziri Mkuu ndipo hatua zichukuliwe, Kuna...
Rais wa Taomac ambao ndio waagizaji wa mafuta nchini Dr Mgaya amesema bei ya mafuta itaendelea kupanda mwezi wa tano kutokana na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Mgaya amesema sababu ya...
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa...
Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi...
Ukiangalia Biashara ya kuuza nafaka Kenya hasa Mahindi imejikita kufurahisha Wakenya zaidi na hasa Raisi wao.
Kwa Mujibu wa vituo vya hali ya hewa Duniani, swala la ukame hasa ukanda wa Africa...
Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania...
Niite utakavyo lakini nachokiona kwa mwacho yangu kwa sasa huu muungano gia zimebadilika angani, Alieuanzisha na kuusimamia kwa kiasi kikubwa kashatutoka na kwa sasa gia zimebdailika na kibao...
Neno ‘mama’ lina maana kubwa maishani mwakila mmoja wetu. Ninapotamka ama kusikia neno mama mawazo yangu yanazama kwenye fikiria za matumaini, Faraja,huruma na upendo wa dhati usikuwa na kipimo...
Niende kwenye mada.
Wakulima wameivisha CHAKULA,, lakini cha ajabu chakula kinanunuliwa na wageni wa nchi jirani kiholela, wanapeleka pesa mashine ni wananunua mchele kwa bei za kuruka.
Baada ya...
Mjadala huu unaoneshwa live wabunge wakichangia.
Ninachoona ni siasa tupu ukweli mdogo sana.Tusiopacha siasa hii nchi haiwezi kwenda.
Kuna ujinga mwingi sana inaonekana utaendelea kuwepo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.