Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,238
2,866
Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni maalumu, special. Mkoani Morogoro wanasumbua wakulima na tunaambiwa ni mgogoro wa wakulima na wafugaji, badala ya kusema ni wamasai na wakulima.

Serikali inashindwa kuwaambia waondoke na tabia yao mbovu ya kutoheshimu kilimo. Mkoa wa Morogoro una makabila mengi ya wafugaji, lakini wanaonesha ustaarabu. Wapo wasukuma waliohamia, wapo wakaguru pia. Mifugo kuharibu mazao ni kawaida na mara zote wafugaji wastaarabu hujutia tukio hilo. Tatizo ni wamasai kutokuwa na ustaarabu na kujifanya hawajui maana ya kilimo. Sasa tena eti tunahangaishwa na Ngorogoro!

Serikali inahangaika kuwaondoa. Hao watu waondoeni, ibaki idadi inayokubalika. Kuwa mmasai isiwe ni kigezo cha kuishi na nguruwe. Wao siyo kabila la kwanza kuhamishwa nchi hii. Makabila mengi yalishahamishwa bila fidia na hadi leo wanaishi kwa amani. Tusiwafanye ni special.
 
Umenikumbusha ubaguzi wa kimasai niliokutana nao huko kwa akina Lowasa. Eti wanaunda NGO ambayo hairuhusiwi kabila jingine kufanya kazi hapo. Ni wamasai tu! Nionacho ni udhaifu wa serikali. Eti ktk nchi hii kuna kiongozi mkuu wa wamasai ambaye mpaka aseme ndo wakubali, mbona hawakuachwa waendelee kuiba ng'ombe wa makabila jirani?

Mgogoro wa pale Morogoro ni wa kijinga jinga tu! Mtu anaswaga ng'ombe ndani ya shamba akiulizwa eti anajifanya hawezi tofautisha mahindi na nyasi, Pumbav! Hawa wapate mkong'oto na tuache siasa. Kuna wanasiasa wana makundi ya ng'ombe wanaoshikiliwa na wamasai. Yaani wamasai ni vibarua wao. Hao ndo wanasumbua na kuleta hizo tume mshenzi tu.
 
Kwa mtiririko wa mada hii hata Wamang’ati nao wangetajwa tu. Hapo Bagamoyo tu wanaiba mbuzi wa watu kama hawana akili nzuri. Ukifuga wakafika kumi tu wanawapitia usiku. Wanaamini wao ndio pekee wanatakiwa kuwa na hiyo mifugo.

Na maneno ya jeuri kibao kama “Nyie fugeni kuku tu “.
 
Kwa mtiririko wa mada hii hata Wamang’ati nao wangetajwa tu. Hapo Bagamoyo tu wanaiba mbuzi wa watu kama hawana akili nzuri. Ukifuga wakafika kumi tu wanawapitia usiku. Wanaamini wao ndio pekee wanatakiwa kuwa na hiyo mifugo.
Na maneno ya jeuri kibao kama “Nyie fugeni kuku tu “.
Nimesikia hii kitu.
 
Back
Top Bottom