Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 262
- 778
Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais kiongozi mkuu wa Serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Kuna kitu watu wanasahau hapa kwamba Neno au Tendo la Rais ni sheria kwa maana nyingine. Sasa inapotekea Rais ambaye ni muslim akafanya hivyo ina maana logically imeshapitishwa kuwa sheria ya nchi hiyo; msingi wa swali,
1. Endapo atakuja rais mwingine hasa mkiristo hasisimamishe hotuba huku adhana ikiendelea hawa ndugu zetu watamuelewa?
2. Vp kama adhana inapewa heshima hiyo endapo wewe kama individual mtu atakuja kukuzuia usifanye jambo lako either unasikiliza mziki, au mna kikao cha familia anatokea mtu anakuzuia kwamba stop kila kitu adhana inalia huku kwa maana sasa imeshakuwa sheria utajisikiaje?
Halafu lazima watu tujifunze kuona vitu ambavyo wengine hawavioni, kumbuka makosa yoyote itakofanya serikali bila kuzuiwa na wananchi madhara yote yatarudi kwako ewe mwananchi.