Polepole akiwa anaendelea na shule yake ya uongozi amesoma katiba ya chama chake na akasema yeye ni mjamaa na anajivunia sana kuwa mjamaa. Ameenda mbali zaid akasema yeye hajakariri tu hayo maneno...
UCHAMBUZI WA MAKATO NA MAPENDEKEZO MAPYA KWA KILA LITA MOJA YA MAFUTA YA PETROLEUM NCHINI TANZANIA 2022
Zimejitokeza mikanganyiko mbalimbali kutokana na bei za mafuta kuwa juu sana.
Baada ya...
Zinaweza tajwa sababu nyingi sana na visingizio vinavyowekewa fake justifications.
kamwe tusikubali.
Mimi nitahoji idadi ya fuel stations zilizoanza chini ya miezi sita iliyopita na namna gani...
Wakuu Mimi nimefurahi Sana Sabaya Kuachiwa Huru, Kesi yake ilikuwa ni Ya Mchongo Sana.
.
Jaji na Mawakili wa Sabaya wao walideal na Technicalities Zaidi.
.
Makosa kama Hati ya mashitaka...
Ziara ya Rais Samia Kenya imewaibua wafahidhina makanjanja wasiojua chochote kuhusu umuhimu wa mahusiano mazuri kwa manufaa biashara na uchumi kati ya nchi mbili.
Wameibuka vihiyo wenye mawazo ya...
1. Sabaya kuwa huru..
Why now why now
2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa
Why now why now
3. Wimbo wa Diamond kufungiwa
Why now why now
4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa...
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe
Sasa...
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
Huu ni wito kwa watunga Sera
Upo umuhimu wa Sheria ya manunuzi ya umma kupitiwa upya.
Haiwezekani Taratibu za kununua matofali au karatasi zikafanana na manunuzi ya dawa na vifaa tiba.
yaani...
Wakuu kulingana na Madudu yanayoendelea Tamisemi, Hii wizara ya TAMISEMI ilitakiwa kuwa na mawaziri WATATU.
.
Hoja yangu ni kwamba TAMISEMI TECHNICALLY INAUNGANISHA WIZARA ZOTE.
.
SO Inahitajika...
Nawasilimu kwa jina la Jamhuri!
Kwa mara ya kwanza toka nchi yetu ipate Uhuru, tulipata Rais mwanamke kwa njia isiyo rasmi sana baada ya kumpoteza Rais, Mh hayati John Pombe Magufuli.
Mh Samia...
Malaysia wana chama cha wataalamu binafsi na Serikali inao
Mwanasiasa akikataa ushauri wa wataalamu wa Serikali mtaalamu asiporidhika anakata rufaa chama cha wataalamu wa eneo husika kama cha...
Najua kuwa hii hukumu imekuja ghafla, kwa kuwa wananchi walikuwa wameshatangaziwa hapo kabla kuwa hukumu hiyo ya rufaa, ilikuwa imepangwa kutolewa tarehe 31 mwezi huu.
Sasa ninachojiuliza, ni...
Wakati huu ambapo tupo kwenye kupanda kwa bei za mafuta na nishati nyinginezo anayetazamwa ni waziri wa nishati na Rais.
Mbolea na pembejeo za kilimo zikipanda bei anayetazamwa ni Waziri wa...
FOREIGN DELEGATES ARRIVE FOR ZANU PF YOUTH CONFERENCE
Youth members from the Chama Chama Mapinduzi CCM and National Council for the Defense of Democracy-Forces for the Defence of Democracy...
Naam, ndio kama mlivyosikia kupitia Vyombo mbalimbali vya habari, aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wameshinda rufaa Yao waliokuwa wakipinga hukumu ya miaka thelathini Jela...
SERIKALI IZINGATIE HAYA SAKATA LA KUPANDA BEI YA MAFUTA NCHINI ILI YASHUKE.
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Ijumaa Mei 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua Vita ya Urusi na...
Bei juu ya mafuta na bidhaa zingine nchini,na kupanda Kwa gharama ya maisha Kwa ujumla,ni anguko litarajiwalo Kwa chama tawala na serikali yake.
Haiwezekani lawama zitokanazo na ugumu wa maisha...
Hawa watu ukiwaangalia bila bias utaona ni madikteta wakubwa sana. Cha kushangaza wafuasi wao hawaoni hilo kuwa ni tatizo.
Moja ya sifa kuu ya udikteta ni kung'ang'ania madaraka. Cheki...
Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya...