Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa muda mrefu sasa Nkamia amekuwa akizungumza ndani na nje ya Bunge kuhusu kuondelewa kwa ukomo wa madaraka, vyovyote vile iwe kwa wabunge au rais. Kila mara ukimsikiliza anaamini kwamba...
1 Reactions
1 Replies
904 Views
I hope sheria mpya ya msajili wa vyama vya siasa kwa namna moja au nyingine itatuondolea udikteta ndani ya vyama vya siasa ambapo Viongozi wakuu wa vyama hawatoi fursa kwa wanachama wengine...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Leo jioni nikitokea kazini kurejea nyumbani nimeona kituko cha bodaboda mmoja ambaye kimsingi sikuweza kushika kwa haraka plate number za pikipiki yake lakini ilikuwa inaishia na CEA.Wakati magari...
14 Reactions
42 Replies
6K Views
Ahlan wa Sahlan Habari zenu wana JF: Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa...
7 Reactions
161 Replies
10K Views
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao...
56 Reactions
1K Replies
112K Views
JPM: URAIS NI TERRIBLE JOB ZITTO: URAIS NI TERRIFIC JOB TUANZE na tafsiri; Terrible ni neno la Kiingereza, sifa yake ni kivumishi (adjective). Huvumisha kitu kwa ubaya. Rais Magufuli alisema kazi...
9 Reactions
28 Replies
8K Views
Hii ndio taarifa ya sasa inayosambazwa kutoka Chadema , kwamba Baraza Kuu lililotarajiwa kuketi tarehe 25/4/2022 sasa linapelekwa hadi tarehe 11/5/2022 . Sababu kuu iliyotajwa kusababisha...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya...
1 Reactions
1 Replies
913 Views
FAIDA ZA KUWA ÇÇM Anaandika, Robert Heriel. Kwenu Vijana, Mabibi na mabwana, sitaki kuwachosha, zifuatazo ni faida za kuamua kuwa ÇÇM; 1. Ukipima UKIMWI hauonekani kwenye vipimo hivyo...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Taasisi bora ya vijana Barani Afrika ( BAVICHA ) , leo imefika kwenye Gereza la Lihungu huko Mtwara , kwa lengo la kuwasalimia na kuwafariji WANACHAMA WANNE (4 ) WA CHADEMA waliofungwa jela...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali awamu ya sita mmeeleweka vyema. Mko kwa maslahi yenu zaidi. Mnajiwakilisha wenyewe: Ninyi ni serikali ya walamba asali. Kwa kututelekeza na hili la mafuta kama ya lile la madhara ya...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kwa mara ya kwanza tumepata Rais wa kikatiba, yaani hajapigiwa kura wala kushindanishwa. Ilizoeleka miaka kenda Rais lazima afanye kampeni, ashindane na wapinzani...
21 Reactions
131 Replies
10K Views
Rejea kichwa cha habari Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
VIJANA NA UCHAGUZI NDANI YA CCM NA UVCCM 2022 Na Victoria Charles Mwanziva (Katibu idara ya uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Chama cha Mapinduzi CCM kinaheshimika na kufahamika kwa mfumo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JPM alikuwa akisema kwa kutamba kuwa sisi ni matajirj na kazi tuliziona no kulialia wala kupandisha gharama za maisha kwa kisingizio cha Corona iliyokua ya dunia nzima sio haka Kavita ka Ukraine tu..
2 Reactions
4 Replies
407 Views
Habar Wadau za miaka Mingi Nalenda kuuliza wadau ivi hii move ya Royal tour inamaana gani hasa mana move imetengenezwa kwa garama kubwa na pia ipo inatangazwa kwa garama kubwa tena katika kipindi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu. Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya...
11 Reactions
107 Replies
12K Views
Habari wanabodi Nimeendelea kutafakari ya spika na wabunge wake huku nikisikiliza ya PM na watu wake huku waziri wa fedha, tume ya ushindani, waziri wa biashara na Rais wako kimya. Nikiwa...
1 Reactions
7 Replies
703 Views
Majaliwa ameyasema leo Ijumaa Mei 6, 2022 wakati akizindua mradi wa Afya yangu unaofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Amesema kazi ya maandalizi ya sensa ya watu...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Polepole akiwa anaendelea na shule yake ya uongozi amesoma katiba ya chama chake na akasema yeye ni mjamaa na anajivunia sana kuwa mjamaa. Ameenda mbali zaid akasema yeye hajakariri tu hayo maneno...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom