Kuna mtu anawaza eti " Hivi timu Mwendazake wakiungana na Chadema hawa Boyz II Men si sawa na karatasi"

Tozo

Member
Aug 23, 2021
76
154
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
 
tatizo hao unaowaita Boyz 2 men ndio CDM na ndio SKM gang pia, kifupi they are running the game all over..
 
Hata wasipokuwa washamba huo muunganiko utavurugwa ila kwa jicho la hela naona kuna hela hapo..😃
 
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
Hakuna kitu kinaitwa Sukumagang alafu ata waliopenda falsafa za Magufuli hawafungamanu ata kidogo aina ya sera za Chadema!

Ata mimi mwenyewe sifungamani na sera za Chadema ambazo hazieleweki! Ziko Zigzag!

Hiki ulichoondika ndiyo kinafanya vyama vingi vya siasa hada upinzani vipoteze! Vyenyewe kila mtu vinaweza kumshambulia na kesho vikawa ndo mzuri kwao, hawaangalii ata mlengo wa siasa za huyo mtu kama wanaendana au lah! Wao wanabeba tu kesho na kesho kutwa mtu anarudi alikotoka alafu mnashamgaana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weye wafungamana na umoja na Ilhali ni mwana Sgang 🏃
 
Kinadharia iko hivyo, ila kiuhalisia haiko hivyo, nchi hii kikundi kinachounda serikali ndicho kinacholindwa.

Kinalindwa na tume ya uchaguzi, TISS, polisi, na majeshi, hao jamaa uliowataja hapo hata wakiungana ni kazi bure.

Hata wakati wa Sukuma Gang wakiwa ikulu, muunganiko wowote kati ya Chadema na Msoga bado ungekuwa kichekesho tu, kwani Sukuma Gang ndio walikamata kila kitu.
 
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
Bad premise.

Ungesema CHADEMA kuungana na timu Samia ungeeleweka zaidi.

Hata hivyo, inawezekana sana hiki ndicho kitakachotokea, kwa maana dalili zinaanza kuonyesha. Samia kama Samia hawezi kamwe kubaki kwa sababu hata yale mabunduki na mabomu ya machozi yeye kama yeye hawezi kuyaamrisha yafanye kilichozoeleka.
 
Gang wanaweza kuungana na TLP au CUF ila sio CHADEMA
 
Haya Sabaya yupo uraiani,wajuvi mtwambie huyu,

Atakausha Kwanza?

Ataungana na CCM asilia,kwakuwa somo kashapata?

Ataungana na Chama kipya,labda kwakuwa watu wa Kariba yake wapo kule?
 
Mtu bado yupo ndani ananyia ndoo inakuwaje unasema yupo uraiani?
 
Hakuna kitu kinaitwa Sukumagang alafu ata waliopenda falsafa za Magufuli hawafungamanu ata kidogo aina ya sera za Chadema!

Ata mimi mwenyewe sifungamani na sera za Chadema ambazo hazieleweki! Ziko Zigzag!

Hiki ulichoondika ndiyo kinafanya vyama vingi vya siasa hada upinzani vipoteze! Vyenyewe kila mtu vinaweza kumshambulia na kesho vikawa ndo mzuri kwao, hawaangalii ata mlengo wa siasa za huyo mtu kama wanaendana au lah! Wao wanabeba tu kesho na kesho kutwa mtu anarudi alikotoka alafu mnashamgaana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani ulipotezwa kipindi Cha dikteta uchwara.kununua,kuua,kupiga marufuku siasa etc etc etc.ndo mana tunataka katiba mpya
 
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
Wanafanana kwa udikteta
 
Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
Naona wewe ni mgeni wa siasa za Tanzania hivi unadhani hao unaowaita Sukuma gang wanaweza kuungana na msaliti mwenyekiti wa SACCOS ya kaskazini,hivi hujui kama mwenyekiti wa SACCOS katumiwa kama big G na Mtoto wa mjini kwa kumhujumu mwendazake? mwenyekiti wenu ni mmoja wa genge linalojulikana kama Wahuni pamoja na kuwa yupo upande wa pili ni mfuasi na mtiifu /kibaraka cha Mtoto wa mjini pamoja na yule mbelgiji wenu, mtoto wa mjini anawaendesha kwa kutumia remote control, jiulize vipi habari za kuumwa kwa mwendazake alizipataje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom