Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama. Hayati baba John...
19 Reactions
84 Replies
7K Views
Huwa nikikaa nafikiria jinsi wanasiasa wanavyopambana kushika nafasi mbalimbali za kisiasa ,wengi wamepambana Sana lakini hawajafanikiwa Lakini Cha kushangaza Dkt. Mpango ni kama ana bahati ya...
19 Reactions
98 Replies
8K Views
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT. Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Habari zenu familia ya JF. Naenda kwenye hoja hapo juu. Kumekuwa na mipango ya kutaka kubadilisha mfumo wa uchaguzi na mihula ya Urais humu nchini. Mi binafsi napendekeza na kama ningekuwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu familia ya JF. Mtakumbuka jinsi vita vya urais vilivyokuwa vikubwa ndani ya CCM. Najiuliza hadi Leo hii hali tuliyonayo ndani ya nchi yetu ni kutokana na vita hivyo. Kama JK angetoa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa. Najua unaendelea vizuri hapo ulaya. Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
ni wiki kama moja hivi tumetoka kwenye mgomo wa kihistoria nchini,mgomo wa madaktari.kuna madai mengi yaliwasilishwa na madaktari ingawa kipropaganda tuliishia kuona madai mawili yakiongelewa...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
Kwa wakongwe wa JF sitarudia historia ya Zitto ili nisije kuwachosha lakini kwa manufaa ya kizazi kipya ndani ya JF nitaeleza kwa ufupi. Itakumbukwa kuwa Ni mara kadhaa Chadema ilimuhisi Zitto...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
ZITTO alikuwa na karata kadhaa ambazo zingemuwezesha kusimama na kusumbua nchini lakini zote zimeenda off timing! 1- Karata ya udini yaani uislamu.hii karata imebuma kwa kuwa kuna UKAWA ambao...
6 Reactions
61 Replies
10K Views
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Humu wapo watu wanaopenda kusoma vitabu bila shaka. Ningependa kusikia uzoefu wao katika kusoma vitabu je kitabu kimoja unaweza kutumia masaa mangapi kukisoma ili hatimaye uweze kumaliza vitabu 48...
15 Reactions
247 Replies
21K Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema mjadala wa muda wa Rais kukaa madarakani kwa miaka 7 badala ya 5 ya sasa ulioanzishwa na mbunge Juma Nkamia umefungwa. Dr Bashiru amemtaka mbunge huyo...
9 Reactions
167 Replies
27K Views
Wasalaam Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi? Hotuba...
4 Reactions
12 Replies
948 Views
Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa...
2 Reactions
114 Replies
27K Views
Tangu uhuru wabunge wanakaa miaka mitano mitano na mambo yana enda iweje sahizi ndio ionekane haitoshi?? Huu ukwasi wa madaraka wa JUMA NKAMIA peke yake?? Au yeye ni daraja la kipitia watu...
15 Reactions
71 Replies
7K Views
HOJA YA JUMA NKAMIA INAWEZA KUWA IMMEDIATE COURSEMA YA KUVURUGA AMANI TANZANIA. Wakati nikiwa shule nikifundishwa historia ya Dunia hii kwa ngazi zote,nilimsikiliza mwalimu wangu nilipofundishwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Nkamia anataka uchaguzi kila baada ya miaka saba tofauti na mitano iliyopo Leo. Sio wazo baya kabisa ila ingekuwa vyema kama angeiweka hivi. Tuondoe Term limit ( Ukomo wa madaraka) ila uchaguzi...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika taarifa ya habari ya BBC jioni hii amesikika Mhe.Juma Nkamia amempiinga waziwaazi Rais Magufuli kuhusiiana na hoja ya kutaka kuongezewa muda wa Urahisi toka miaka 5 mpaka miiaka 7...
25 Reactions
464 Replies
48K Views
Kuna watu wengine wanakera sana.Jimbo la Chemba ni miongoni mwa majimbo ambayo wananchi wake ni masikini Wa kutupwa .Mbunge Wa JIMBO hilo ndio huyu Bwana anayehangaika na MIAKA 7 YA...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom