Chama tawala na Serikali yake mtavuna mnachopanda

Ntozi

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
226
299
Bei juu ya mafuta na bidhaa zingine nchini,na kupanda Kwa gharama ya maisha Kwa ujumla,ni anguko litarajiwalo Kwa chama tawala na serikali yake.

Haiwezekani lawama zitokanazo na ugumu wa maisha zitamalaki kila mahali katika jamii,na bado ukashinda uchaguzi wa kisiasa kihalali.Haiwezekani.

Zambia ilianza kama hivi,na baada ya hapo,kilichobaki ni historia. Huwezi kupanda mchicha halafu uvune mahindi!
 
Bei juu ya mafuta na bidhaa zingine nchini,na kupanda Kwa gharama ya maisha Kwa ujumla,ni anguko litarajiwalo Kwa chama tawala na serikali yake.Haiwezekani lawama zitokanazo na ugumu wa maisha zitamalaki kila mahali katika jamii,na bado ukashinda uchaguzi wa kisiasa kihalali.Haiwezekani.Zambia ilianza kama hivi,na baada ya hapo,kilichobaki ni historia. Huwezi kupanda mchicha halafu uvune mahindi!
Bongo ngumu, watu watazila kupiga kura, kura chache waalimu wataziiba na kuwapa ccm...over
 
Lini watavuna? Mbona mtaani maisha yanaendelea tofauti na mitandaoni?
 
Bongo ngumu, watu watazila kupiga kura, kura chache waalimu wataziiba na kuwapa ccm...over
Magufuli amefungua ubongo wa watanzania. Zamani kupanda kwa gharama na mambo mengineyo tulidhani ni world nature kumbe yanasababishwa na watanzania wenzetu tu wachache kama mkuu wa nchi na washauri wake hawana maono.
 
"Tulidhani ni world nature" hapa nakataa. Zamani watanzania walikuwa hawana utamaduni wa kuujua ukweli.
Hata wakiujua walikuwa hawauchukulii serious.
Jpm alichofanya ni kuwaonyesha kuwa kuujua ukweli kutawapa vision ya nn kinachoendelea ndani ya serikali
 
raisi kawa bongo movie wa kimataifa na ilikuwa ndoto yake kumzidi adija kopa maana alitaka kuimba taarabu kaona kupitia movie na meneja wake said fera bonge wa ulaya kwa sasa anashikilia Royal seketule na mirabahaa
yote
 
Back
Top Bottom