Mbowe ni master wa siasa Tanzania tumpe pongezi

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,308
Wanaukumbi.

Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
 
Wanaukumbi.

View attachment 2219314

Naona umeamua kuwapa support wapinzani

Hakika penye ukweli uongo hujitenga😄
 
Mwamba ni Mwamba tu.
obama.png
 
Wanaukumbi.

View attachment 2219314

Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Ukiwauliza CCM Ile kesi yao ya Ugaidi hewa dhidi ya Mbowe imekuwaje wamebaki kukenua meno tuu.
Mbowe ni muhimili kamili wa nne wa upinzani hapa nchini upende usipende.Mbowe ni mwanadamu anayo mapungufu yake lakini kwa namna alivyo ongoza upinzani nchini chini ya dhalimu aliyeko kuzimu kila mwenye Akili timamu atampa pongezi.
 
Wanaukumbi.

View attachment 2219314

Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Ustadhi unazingua.
 
Naona unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
mama kamvuta Zito kulia kamvuta Mbowe kushoto kisha anakwenda nao kujenga nchi.
 
Back
Top Bottom