Tumuangazie Membe mwaka 2021 baada ya Uchaguzi mkuu

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,182
Reaction score
48,143
Naona kwenye Mitandao Kasi ya Membe si ndogo , si Maanishi ni kubwa sana,

Nauliza tu hivi baada ya sarakasi hizo zote na Magufuli akarudi Ikulu kwa Ngwe ya Pili, nini itakuwa hatma ya Membe kisiasa, kiusalama hata kiuchumi?

Tunajua fika kwamba Membe h awezi kupitishwa na CCM hii kugombea Urais,

Ni hatari sana kwa Membe kujaribu kugombea urais wa 2020 akiwa ndani ya CCM kuliko akiwa nje ya CCM

Kaa chonjo

Britannica
 
kitu unachokisahau nikuwa kipindi cha awamu ya pili magufuli hatakuwa na nguvu yoyote ukibisha muulize jk au huenda hauujui undani wa makada wa ccm panapokuwa na usajili mpya wa timu mpya.
Mark my word, hakuna atakae endelea kumsikiliza magufuli tena bari yataanza makundi kuanzia siku anaapishwa mh.jpm mpaka anapatikana raisi...time will tell.
 
Membe ni mfano halisi ya watu wenye UCHU wa madaraka
Coz alikuwa waziri lkn hakuna cha maana alichokifanya ili kuonesha yeye ni mzalendo kweli
Huyu wa sasa ni kipi cha maana alifanya akiwa waziri na kipi cha maana kimefanyika mpaka sasa hivi akiwa Rais
 
  1. Success in Egypt without a procession in Canaan is a succession of eternal tears.
Chekechea teacher Uzunguni Mbeya
 
Simbachawene Aliboronga Ofisi Ya Rais Akaondoka Na Ripoti Ya Tume Ya Uchunguzi Ya Tanzanite. Rais Akasema Akikuteua Ukaharibu Hawezi Kukuteua Tena Ili Usiharibu Sehemu Nyingine Sasa Simbachawene Karudishwa Upya! JE Inamana Rais Kasahau Kauli Yake Au CCM Imehishiwa Watu Wa Kuteua?

Lawama zote kwa John
 
Naona kwenye Mitandao Kasi ya Membe si ndogo , si Maanishi ni kubwa sana,

Nauliza tu hivi baada ya sarakasi hizo zote na Magufuli akarudi Ikulu kwa Ngwe ya Pili, nini itakuwa hatma ya Membe kisiasa, kiusalama hata kiuchumi?

Tunajua fika kwamba Membe h awezi kupitishwa na CCM hii kugombea Urais,

Ni hatari sana kwa Membe kujaribu kugombea urais wa 2020 akiwa ndani ya CCM kuliko akiwa nje ya CCM

Kaa chonjo

Britannica
Kwani kwa lowassa imekiaje. Mbona unauliza kitu rahisi sana. Anaomba msamaha na kurudi kundini
 
Naona kwenye Mitandao Kasi ya Membe si ndogo , si Maanishi ni kubwa sana,

Nauliza tu hivi baada ya sarakasi hizo zote na Magufuli akarudi Ikulu kwa Ngwe ya Pili, nini itakuwa hatma ya Membe kisiasa, kiusalama hata kiuchumi?

Tunajua fika kwamba Membe h awezi kupitishwa na CCM hii kugombea Urais,

Ni hatari sana kwa Membe kujaribu kugombea urais wa 2020 akiwa ndani ya CCM kuliko akiwa nje ya CCM

Kaa chonjo

Britannica
Nambiwa single mpya ya Membe kwenye ile Album ya sauti za simu zilizorekodiwa ni hii hapa:

Tuendelee kufuatilia hii tamthilia.
 
Yaani bora umtetee shetani anaweza ukaeleweka ,lakini jiwe kwa aliyoyafanya miaka minne bora shetani ana nafuu .
 
Back
Top Bottom