Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Hassan Mshinda, DG wa COSTECH...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quemu, Oct 4, 2011.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.

  Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.

  Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...

  By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete… go figure…!!
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu mzee kwa majungu, fitina na Udini ndiye mweneywe, Uliza pale Ifakara health Institute
   
 3. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hiyo ya Ifakara nilishawahi kuisikia. Alijaza "wenzake" kibao kwenye management.

  Wafanyakazi wa COSTECH waliobaki wanahisi ndicho kitakachotokea.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Suala la kupeana vyeo kwa kujuana si jipya kwa JK kwahiyo kama DG wa COSTECH ana nasaba na mkuu wa nchi hiyo post ameistahili kwa mtazamo wa mteuaji kwa criteria zake.

  Hili la kuwafanyia fitna watu 15 hadi kuhamishiwa wizarani linaweza lisiwe issue kubwa sana kwakuwa kwa muda mrefu sijaona umuhimu wa kuwepo kwa COSTECH kwani watanzania wengi wamekuwa wakilalamika kukwamishwa ama kukosa support yao. Labda wakiletwa wengine wanaweza kuiamsha COSTECH, so far iko usingizini.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha DG wa COSTECH ndiye anateua management ya IHI ama unamzungumzia Dr. Kikwete?
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Acha uongo na chuki binafsi...namjua Dr. Hassan Mshinda personally kama rafiki na pia likuwa boss wangu!

  Google profile ya Dr Hassan Mshinda halafu niambie kama katika 'top ten' ya scientist wa Tanzania hatakuwepo! He is a PhD holder, Malariologist, research guru, with hundreds of research publications in 'internationally accredited' journals. Ana awards nyingi tu katika uwanja wa research kutokana na kazi zake katika malaria.

  Dr Mshinda hana undugu wowote na Saidi Mwema....Said Mwema ni mkwe're wa kutoka kijiji cha Mwetemo Bagamoyo (kati ya Kiwangwa na Msata), Dr Mshinda ni mNgazija toka Shelisheli (Seychelles), hapa Tanzania alihamia akasoma, akaoa, akazaa, na anafanya kazi brilliantly.

  Utendaji kazi wa Dr Mshinda ulimvutia JK wakati alipokuja Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) Dr Margareth Chang, Chang mwenyewe alisalute kazi kubwa iliyofanywa na Ifakara Health Institute chini ya Dr Mshinda akiwa mkurugenzi, kiasi kuna guidelines kadhaa za WHO zimekuwa developed kufuatia tafiti za IHI. Hata waziri wa Afya wa sasa Dr Hadji Mponda ametokea IHI naye akiwa na tafiti na publications nyingi tu za malaria.

  Kama ana mapungufu mengine hapo COSTECH jaribu kujenga hoja kwa hayo...lakini usisingizie alibebwa kupewa post hiyo kwa uswahiba wa kuunga na gundi kwa JK.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Sasa ulitaka asiwajaze "wenzake" awajaze wenzako? Unanshagaza!
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Kashushuka shu.
   
 9. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama ni fitna, mbona kati ya waliohamishwa mmoja namfahamu amekuwa promoted?
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sheer Illusions!
   
 11. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napenda kusikiliza mistari ya Khadija Kopa!!!!!!!!
   
 12. fxb

  fxb Senior Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kweli umesema vema na swahihi kabisa kuhusu Dr Hassan Mshinda kwani ile nyimbo inayosema timua woote na uanze tena na timu yako kwani ni ikulu peke hake kuna mtu anashaka na WHO mpaka wakawa na guidelines zilizoanzia TZ ni team work kama kaona watu hawaelewi nawe ni mtu wa kudeliver unafanya nini?

  Nenda kafanye home work yako ujue sababu ya hao 15 ulosema jenga hoja then lete hapa jamvini tutakuelewa. vile vile usikurupuke tu kwa kuwa kila mtu aliyeteuliwa na Mheshimiwa JK ana uswahiba

  I personally salute you Dr. Mshinda
   
 13. k

  kakaamiye Senior Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nilivyosikia ni kuwa kulikuwa na RUSHWA katika kupitia scientific proposal za research zinazowasilishwa COSTECH kwa ajili ya kupatiwa fedha. Nadhani mnakumbuka kuwa kuna fedha 1% ya GDP iliyokuwa imeahidiwa na serikali, japo haikutoka yote COSTECH walipatiwa kiasi fulani. Sasa ninavyosikia hiyo fedha ndiyo imewaondoa.

  Tatizo lao ilikuwa ili proposal ya mtu ipite ilikubidi utoe % fulani kwa hao wadau.

  Ila kimsingi Dr. Mshinda ni KICHWA!! Tafuta CV yake utaona.
   
 14. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mkuu kinachofanyika hapo COSTECH ndicho kinafanyika UDOM, kuna ubaguzi wa kidini. Ukiwa mtu wa dini amabayo wanailalamikia hupati kazi na walioajiriwa wanatishiwa kufukuzwa. Nasikia fukuza fukuza imepamba moto UDOM. Kwa kweli huu upendeleo utaliangamiza taifa hili. Nasikia hawa jamaa wanajiita wao kwa wao (watu dini moja) na siyo qualification, kupeana kazi zote za senior. Madai yao wao tu ndiyo wawepo chuo kizima.
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  hadija kopa hajui wala hawezi kutamka neno la kiingereza
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Director General


  [​IMG]
  Dr. Hassan MshindaDirector General

  About Dr. Mshinda
  Formerly the Director of the Ifakara Health Development Centre in Tanzania Dr. Hassan Mshinda completed his MAster of Science in Applied Parasitology and Medical Technology with the University of Liverpool and PhD in Epidemiology with University of Basel in Switzerland. Dr. Mshinda has led several research projects funded by Multilateral Initiative of Malaria in Africa (MIM), Swiss Agency for Development and Cooperation, International Atomic Energy Agency, International Development Research Centre in Canada, European Union, Ireland Aid and Novartis Foundation for Sustainable Development. He has published several papers in communicable diseases and Health Systems.

  Dr. Mshinda has conducted several international and national consultancies assigned by Department of International Development, Danish Development Agency and WHO, Global fund for HIV/AIDS, TB and Malaria.

  Dr. Mshinda was the Chairman of the INDEPTH Board, Member Scientific Coordinator of AMANET, a member of International Review Panel-Health Matrix, Board Chairman - St Francis Pharmacy, Board Member - BRAC Tanzania, Member - Regional task force of Maternal New Born and Child Partnership AFRO/WHO

  Roles & Responsibilities
  The Director General is the Chief Executive Officer of the Commission and therefore responsible for the implementation of all decision of the Commission and for carrying out all The day activities of the Commission
  The Director-General is secretary of the Commission,

  The following are the main roles of The Director General:

  (a) To carry out investigation into the problems of transfer of and development of science and technology and transfer of technology;
  (b) To obtain the advice of person having special knowledge, experience, or responsibility in regard to development of science and technology.
  (c) To keep under review the progress made in the attainment of the objects and purposes of this Act to publish reports and provide information for the purpose of enhancing public awareness of such progress and of the problems and remedies that exist in relation to the development of science and technology.

  (d)To promote, encourage, co-ordinate and carry out short term and long term planning and projects in the development of science and technology with or separate from other public bodies and other organs

  (e) Generally to administer and give effect to the provision of this Act and to carry out other function as may be prescribed by the Commission
   
 17. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ilibaki kidooogoooooo tuuu nichangie ujinga usokuwa na mantiki yoyote...mtu hafukuzwi kazi bila kosa...

  hoja ya udini na ukaribu kati ya wateuaji na wateuliwa kipindi cha nyuma enzi za mwalimu haikuwahi kupata mashiko ila nasikitika kipindi hiki cha jk hasa baada ya kupata ushindi kwa taaaabu sana dhidi ya dr slaa imekuwa ikiongelewa sana na bila kificho...

  naahidi nikiwa kama mtaalamu nitaifanyia kazi nijue vigezo anavyotumia jk kuteua watu wake kama first priority ni udini na hasa ukiwa muislam....

  zaiidi ya hapo naomba nisichangie chochote zaidi ya kusema kuwa namuheshimu mkuu wa costech kwa data nilizopata google kuhusu ifakara health institute
   
 18. Savimbi Jr

  Savimbi Jr JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 2,019
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mkuu relax relax au ndo wewe DG,haaaaaaaaaa,kwani mtu anaweza akawa prof lakini kwenye kazi aliyoomba akawa hana vigezo kuwa DR hakumpi qualifiacation kwa kazi alipota miaka hiyo miaka mi3 iliyopita::
   
 19. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kosa letu nihilo........mtu akiwakichwa kwenye eneo lake tunadhani ni kichwa katika kila kitu
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Labda anaiboresha hii COSTECH, kwanza tupe list ya waliohamishwa.
   
Loading...