SHAKA AVIOMBA VYOMBO KUMMULIKA MFANYABIASHARA ANAYEUZA PEMBEJEO FEKI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, ameviomba vyombo vya ulinzi na usalama...
Nilikuwa najiuliza maswali haya.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii.
Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo.
Nataka kuwauliza wenzangu.
Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia...
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.
Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.
Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.
Ndugai atabakia...
Ndugu zangu,
Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013.
Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa...
Uongozi ni namna ya kushughulika na katatizo yaliyopo.
Kipindi Cha Awamu ya Tano, ilijikita kushughulika na matatizo ya wananchi kwa kiwapelekea miradi mingi haswa ili wafaidi keki Yao.
Miradi...
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.
Rais Samia akishuhudia utiaji saini mikataba ya Mradi wa Maji wa Miji 28 - Chamwino Jijini Dodoma, Juni 6, 2022.
=======
Samia Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Viongozi wote...
Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ikikuwa kwa kiwango flani kutokana na uwepo wa jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyoanza mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Tangu kipindi cha kuundwa kwa...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Baada ya elimu,vituo vya afya,Kilimo na Sasa ni zamu ya sekta ya Maji..
Kwa mujibu was Waziri WA Maji Jumaa Aweso,Rais wa JMT mapema mwezi ujao anatarajia kuweka...
Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu.
Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa...
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo.
Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi...
Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi Bungeni leo Mei 26, Dkt Joseph Kizito amesema “sehemu kubwa ya migogoro katika maeneo yetu inachangiwa na taasisi zingine za serikali, inapotokea mwananchi...
Habari za muda huu wanajukwaa,
Bila shaka Kazi inaendelea.
Twende kwenye mada,Kumezuka mtindo mpya wa upigaji kwa Wizara na taasisi za Serikali kuanza kutumia pesa za walipakodi kujenga maofisi...
Wakuu nimependa Tcra Ya India Inavyofanya Kazi.
India wana mfumo mzuri sana. TCRA yao imepiga marufuku vifurushi vinavyouzwa na makampuni kama DSTV, Startimes, Azam etc kwa sababu mtu...
Mwamba wa siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe , Laingwanan ama Mtemi Isike kama anavyofahamika huko Tabora , ataongea na Watanzania wanaoishi nje ya Nchi ( DIASPORA ) , kesho Jumamosi...
WANAWAKE MTWARA WAMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA.
Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa kuwatumikia Watanzania katika kuwaletea maendeleo...
Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.