Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,397
- 289,531
Mwamba wa siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe , Laingwanan ama Mtemi Isike kama anavyofahamika huko Tabora , ataongea na Watanzania wanaoishi nje ya Nchi ( DIASPORA ) , kesho Jumamosi 04/6/2022 , Saa 11 Jioni muda wa Tanzania , Mahali ni palepale CLUB HOUSE .
Kaa Tayari kupewa mwongozo na Dira ya Taifa .
Kaa Tayari kupewa mwongozo na Dira ya Taifa .